Yap ile dawa ya kuhifadhi miili mochwari. Ukigundua hiyo usile hiyo nyama kabisa.Kuna mabucha yanatumua formaldehyde ili kutunza nyama na nzi wanakuwa hawapo kabisa..
Ukienda buchani na ukakuta hakuna hata nzi mmoja,usinunue hiyo nyama
wapo busy wakitafuta vyanzo vya mapato, wakimaliza watakujako umeitupa nyama hyo au vp
Ohoo nili note hiko kitu nikadhani ni usafi tu wa butcher husika kumbe ni madawa [emoji53][emoji53].Kuna mabucha yanatumua formaldehyde ili kutunza nyama na nzi wanakuwa hawapo kabisa..
Ukienda buchani na ukakuta hakuna hata nzi mmoja,usinunue hiyo nyama
Hakuna kitu kama usafi mkuu..Ohoo nili note hiko kitu nikadhani ni usafi tu wa butcher husika kumbe ni madawa [emoji53][emoji53].
Wanatumia fomalin dawa ya maiti..Nilipita Tabata Magengeni Jana nikanunua kg. moja ya nyama. Nilipoanza kuiandaa nikasikia harufu isiyo ya kawaida! Ni kama ile ya chumba cha kuhifadhia maiti.
Chonde chonde TFDA (na TBS) CHUNGUZENI hili jambo. Hata mizani yao pale inatakiwa ikaguliwe kwenye maduka ya kawaida, mabucha, na kwenye kitimoto.