Text message bila ridhaa yangu....nami nishtaki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Text message bila ridhaa yangu....nami nishtaki?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by ZLATAN, Oct 18, 2010.

 1. ZLATAN

  ZLATAN Senior Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  WADAU WA JF, KUMEKUWA NA MALALAMIKO JUU YA SMS ZINAZOTUMWA BILA RIDHAA YA MTU.

  SMS HIZO ZIMELALAMIKIWA SANA NA WADAU WA CHADEMA ZIKIDAI CCM INATUMIA KAMPUNI ZA SIMU KUFANYA KAMPENI ZA KIAINA IKIWEMO KUPANDIKIZA CHUKI KWA WANANCHI DHIDI YA SLAA.

  MIONGONI MWENU MPO MLIOSEMA MTATAFUTA WAKILI MKASHTAKI KAMPUNI HIZO ZA SIMU.

  JUZI NIMEPATA SMS ZA WATU WA CHADEMA, WAKIOMBA NIWACHANGIE PESA KWA NJIA YA M-PESA, LAKINI SIKUGOMBA JAPOKUWA MSG HIYO ILIKUJA BILA RIDHAA YANGU.

  NTATAJA BAADHI YA NAMBA AMBAZO ZILIORODHESHWA KUWA NIZICHANGIE PESA HIZO:
  1: 0758 223344-(STEVEN MMBOGO)
  2: 0764 776673-(KITILA MKUMBO )
  3: AKAUNTI NAMBA YA CRDB AMBAYO SIJAIORODHESHA etc....


  MBONA SIKUPIGA KELELE KAMA MLIVYOPIGA NYINYI MLIPOPATA MSG ILE YA CCM?:tape:

  KUWENI WASTAHMILIVU, NGANGARI, JIPANGENI, SIO KUPIGA MAVUVUZELA KWENYE MTANDAO, HIYO HAITAWASAIDIA KITU.:nono:

  IKULU SLAA HATOINGIA, LABDA AENDE KAMA RAIA MWEMA KUTOA TAARIFA ZA USALAMA WA NCHI YETU YA AMANI TANZANIA.

  AU LAA, KAMA ATASHINDWA KUPELEKA TAARIFA, APITE ''LIKE HE IS HEADING TO FERRY'', JAPO ASIKIE HARUFU YA IKULU NA UPEPO WA BUSTANI ZAKE.

  LAKINI KWA KELELE ZENU ZA ONLINE, NI JINO LA PEMBE......SI DAWA YA PENGO.

  CHAGUA CCM, CHAGUA KIKWETE:A S thumbs_up:.
  DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE FOR SURE!!!!!!!!!!!!!!!
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280

  we ndo matapishi kabisa..nani akuombe hela mmchangie..wewe mwenyewe unashinda unakula chipsi kavu na soda ukiwa kibaruani kwako halafu unajitunisha hapa eti unaombwa mchango..hebu tutokee hapa
   
 3. ZLATAN

  ZLATAN Senior Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  nuna, vimba, pasuka, ukweli ndio huo, sasa hizo namba mi nimezitoa wapi, ntafanya maneuver niiwekena msg yenyewe.
  Kutwa kucha mwapiga kelele ccm mafisadi, kipembe mnaomba michango kwa hao hao ccm.

  Haha hahaa hahahaaa, r u provoked?
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Invisible,

  Sasa ujumbe kama huu kwa nini tusiandike Madras***** au CR***

  Yaani jamaa mwenyewe anaomba kama wimbo wa Jay-Z kwa maneno ".. Can i get F**k you?"

  Upupu wa waziwazi kabisa. Mbona hajatuwekea ni namba gani ilituma? Kusema tu kuwa ni Chadema hili si kweli. Inaweza kuwa kutoka kwa ndugu au jamaa au rafiki na hayo ni mambo yao ya ndani na si kuchukua namba zilizo kwenye kampuni na kuwagawia watu wengine. Ni kuvunja makubaliano na kama Dr. Slaa akishinda, basi Vodacom na wengine wote waliohusika kama itaonekana ni wao waligawa hizi namba, watashangaa wanaburuzwa mahakamani na umma wa Tanzania na kulipa fidia kubwa au kutangaza kampuni imefilisika.

  VODACOM wa kwanza kula kitanzi, kwanza wamekwepa kodi zetu muda mrefu.
   
 5. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  CCM walikuwa wanatuma sms za kumchafua mtu, lakini CHADEMA walikuwa wanatuma sms kwa wananchi wazalendo waichangie CHADEMA ili iikomboe nchi katika dibwi zito la umaskini unaosababishwa na ufisadi wa CCM. Hii message iliwalenga wananchi wazalendo, wenye uchungu na nchi na waliotayari kujitolea kwa hali na mali kwa ajili ya nchi yao. Ni kama ambavyo Nyerere alivyokuwa anachangiwa kuku, mayai na vitu kama hivyo katika harakati za kudai uhuru. Nafikiri ni kwa bahati mbaya tu hiyo SMS ya CHADEMA iliingia kwenye simu yako, lakini yenyewe ililengwa kwa watanzania wazalendo na si walowezi kama wewe.
   
 6. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Mkuu Zlatan, kutumiwa sms ujiunge na huduma fulani ni sawa na ni sehemu ya mawasiliano, tofauti kati ya SMS hiyo uliyosema ya Chadema na ile ya kizushi ya kumkashifu Dr Slaa ni lugha na lengo.
  Ile msg ya kizushi ilikuwa inafanya 'incitement' na ilikuwa ni smear campaign. SMS za Chadema zimeomba uchangie na haijamkashifu mtu. Hata ukipeleka kesi hii ya Chadema mahakamani hutasikilizwa kwani kila siku unapata msg za kujiunga na huduma mbalimbali, unachoweza kufanya ni kuzifuta na kuendelea, ila hii ya kumkashifu Dr Slaa ni tofauti! Umejaribu kulinganisha vitu hivi viwili lakini haviko sawa.
  Ukweli unabaki hapo hapo CCM imeumia sana na SMS hii ya kumkashifu Dr Slaa, na kibaya zaidi imeacha fingerprints ambazo imeonekana moja kwa moja kuwa imetoka CCM. Poleni sana!
   
 7. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada kwa kukusaidia tu kuwa siyo wewe peke yako tu unayepata msg kama hizo, wengi tunazipata...za kuchangia CCM, zan kueleza mazuri+Mabaya ya Kikwete na CMM etc..Za kumsifu Dk Slaa n.k.. Kitu ambacho watanzania wengi hatukiungi mkono nio Zile msg ya Kukampeni kwa misingi ya udini au ya kukashifu maisha binafsi ya mtu au kusema msimchague fulani eti sababu ataleta vita. hizo SMS za uchochezi hatuzitaki lakini zile zinazoeleza udhaifu wa kisera wa Chama au mgombea fulani au kumchangia mgombea fulani wakati huu wa kampeni ni kitu cha klawaida
   
Loading...