Tetesi zinadai Israel yalipua Hospitali Gaza, 500 wafariki

Hovyo kabisa na ni unafiki uliopitiliza, wale waliouwa wakiwa kwenye ukumbi huko Israel walikuwa na hatia gani?
Naamini hata dunia nzima ikisimama kinyume na Israel, Mungu akiwa pamoja nao ni zaidi ya dunia yote.
Haiwezekani uuuwe wa wenzio wako wakiuliwa ohh wameuliwa wasiokuwa na hatia.
Kwa kuwa waliofanya mauaji huko uyahudi,
Kwa hiyo Mungu yuko upande wa wauaji wa watoto na wanawake?
 
Sasa hao wakristo na ugaidi wapi na wapi? Ni ajabu sana unashangilia wakristo wenzio kufa alafu unasema wachache wafe as if 500 ni watu wachache after all hapo wote ni raia hakuna Hamas
Hotuba ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

Inafaa Kusoma

Bw. Netanyahu alisema:
Miaka 70 tu iliyopita! Wayahudi walichukuliwa kwenda kuchinjwa kama kondoo.
Miaka 60 iliyopita!
hakuna nchi. Hakuna Jeshi.

Nchi saba za Kiarabu zilitangaza vita dhidi ya dola hiyo ndogo ya Kiyahudi, saa chache tu baada ya kuundwa kwake!
tulikuwa Wayahudi 650,000 dhidi ya mamilioni mengi katika ulimwengu wa Kiarabu!

Hakukuwa na IDF yenye nguvu (Vikosi vya Ulinzi vya Israeli).

Hakuna jeshi la anga lenye nguvu la kutuokoa bali ni watu wa Kiyahudi wajasiri wasio na mahali pengine pa kwenda.
Lebanon, Syria, Iraq, Jordan, Egypt, Libya, Saudi Arabia zote zilishambulia kwa wakati mmoja.
Nchi ambayo Umoja wa Mataifa ulitupa ilikuwa ni jangwa 65%.

Miaka 35 iliyopita! Tulipigana na majeshi matatu yenye Nguvu zaidi katika mashariki ya kati, na tukayafagilia kwa siku sita.

Tulipigana dhidi ya miungano mbalimbali ya nchi za Kiarabu, ambayo ilikuwa na majeshi ya kisasa na silaha nyingi za Soviet, na sisi daima tumewapiga!

Leo tunayo:

Jimbo (Nchi)
Jeshi,
Jeshi la Anga lenye Nguvu,
Uchumi wa Hali ya Juu na mauzo ya nje yenye thamani ya mabilioni ya dola.
Intel - Microsoft - ibm na kampuni nyingi za teknolojia ya juu hutengeneza bidhaa za kisasa nchini Israeli
Madaktari wetu hupokea tuzo kwa ajili ya utafiti wa kimatibabu.
Tunafanya jangwa kuchanua, na kuuza machungwa, maua na mboga kote ulimwenguni.

Israel imetuma satelaiti zake angani!

satelaiti tatu kwa wakati mmoja!
Tunajivunia kuwa katika daraja sawa na:
Marekani, ambayo ina wakazi milioni 250,
Urusi, ambayo ina wakazi milioni 200,
China, ambayo ina wakazi bilioni 1.3;
Wazungu - Ufaransa, Uingereza, Ujerumani - yenye wakazi milioni 350.
nchi pekee ulimwenguni kutuma vitu angani!

na kusema kwamba miaka 60 tu iliyopita,
tuliongozwa, tukaaibishwa na kukosa matumaini, kuchinja!
tumepitia magofu ya uvutaji sigara ya Uropa,
tumeshinda vita vyetu hapa Israel bila chochote

tulijenga "Empire" yetu ndogo bila chochote.

Hamas ni nani wa kunitisha?
ili kunitisha?
unanichekesha!
Pasaka iliadhimishwa;

Tusisahau Pasaka ni nini:
tuliokoka kwa Farao,
tulinusurika na Wagiriki,
tuliokoka Warumi,
tulinusurika kwenye mahakama ya kidini nchini Uhispania,
tunayo mauaji nchini Urusi,
tulinusurika na Hitler,
tulinusurika na Wajerumani,
tulinusurika kwenye mauaji ya Holocaust,
tulinusurika na majeshi ya nchi saba za Kiarabu,
tulinusurika Saddam.
tutanusurika na maadui waliopo

Fikiria wakati wowote katika historia ya mwanadamu

Fikiria juu yetu, kwa ajili yetu, watu wa Kiyahudi,
hali haijawahi kuwa nzuri!
basi tukabiliane na ulimwengu,

Wacha tukumbuke:
mataifa yote, himaya au tamaduni zote
ambaye wakati fulani alijaribu kutuangamiza,
haipo tena leo - tungali tunaishi!
Misri?
Babeli?
Wagiriki?
Alexander wa Makedonia?
Warumi? (kuna mtu bado anazungumza Kilatini siku hizi?)
Reich ya Tatu?

Na tuangalie

Watumwa wa Misri,
Watu wa Musa
Taifa la Biblia,
Bado tupo hapa,

Na Kiebrania bado ni lugha rasmi ya Jimbo la Israeli leo:

tangu wakati wa Biblia na sasa!
Waarabu bado hawajajua,
lakini watajifunza kuwa kuna Mungu.
mradi tu tunahifadhi utambulisho wetu, tuko milele.

Basi tusamehe kwa kutokuwa na wasiwasi,
sio kulia,
kutoogopa.
Mambo ni sawa hapa.
bila shaka wangeweza kuwa bora,

Hata hivyo:
Usiamini vyombo vya habari,
hawakuambii mambo mengi mazuri kuhusu Israeli
sherehe zinaendelea kufanyika katika Israeli,
watu wanaendelea kuishi,
watu wanaendelea kutoka,
watu wanaendelea kuona marafiki.

Wengine wanadai ari yetu iko chini.
ili iweje?

Ni kwa sababu tu tunaomboleza vifo vyetu huku adui zetu wakifurahia damu iliyomwagika na vita.

ndio maana tutashinda, mwisho.

Mungu wa Israeli aliziumba Mbingu na Nchi.
Mlinzi wa Israeli hasinzii wala kulala! Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.

Sambaza hotuba hii kwa jamii nzima,
na kwa watu ulimwenguni kote.
ni sehemu ya nguvu zetu

Shiriki chapisho hili na familia yako, marafiki na wafanyakazi wenzako

Mungu akubariki!
 
Hamas niwahuni.Wanatumia maeneo ya raia,shule na hospital kushambulia Israeli 🤔
 
Aliyeanza uchokozi ndio gaidi. Maana angetulia yote yasingetokea.

Aliyeanza ugaidi ni aliyevamia maeneo ya wenziwe na kuyakalia kinyume Cha sheria za kimataifa:

IMG_20231015_072729.jpg
 
Kazi ya Hamas hiyo. Kombora limeshindwa kupaa.

Madai ya upande mmoja haya ni kama:

1. Kuituhumu CHADEMA mabomu Soweto.
2. Kuituhumu CHADEMA Lissu kushambuliwa.
3. Kuituhumu CHADEMA kifo cha Wangwe.
4. Nk.

Israel hawezi kujivua lawama na bomu hilo. Mshikwa na ngozi ndiye mla nyama.

Pa kuanzia anayerusha makombora huko nani na kwa nini? Haoni ni makazi ya watu?
 
Waliambiwa mapema waondoke; hiyo kukataa na kuendelea kubaki Gaza ni njia ya kuendelea kuwatunza hicho kikundi cha wabiganaji.
Na hakuna nchi ya kiarabu yenye nguvu, itakayoweza kuingilia huu mgogoro zaidi ya kupiga kelele tu.​
Acha ujinga wewe waliambiwa waondoke waende wapi wakati mpaka wa misri umefungwa??Hata hamjuwi Gaza ipo vipi kijografia nyie mnaongea ongea kama mmekatwa kichwa.
 
Naelewa ulivyoumia na naiona frustration uliyo nayo baada ya hili pigo la Hospital, lakini huko mwanzoni mlikuwa mnashabikia sana na kutoa kejeli za kila aina kwa IDF. Tuliwaonya kabisa kuwa mtegemee the worst kutoka kwa Israel mkawa mnaleta masihara. Sasa mnaona kisasi wanachopewa wakazi wa Gaza kwa kuwahifadhi HAMAS, na huu ni mwanzo tutegemee hali kuwa mbaya zaidi.

Kikubwa tuwaombee pande zote na HAMAS waache kujimwambafy kuwa wanauweza mziki wa IDF vinginevyo watu wao wataendelea kukaangwa hivi hivi kwakuwa wanakubali kuwahifadhi.
Ndio matatizo ya kufanya ukahaba hali yakuwa umezeeka sasa hapa umeongea nn?
Haya mm naumia vipi ww unafurahi sio?,bila shaka sasa hivi upo unafanya sherehe na kugonga mvinyo.

Raia wa gaza hawawalei hamas bali wanatawaliwa na Hamas kama ww unavyo tawaliwa na CCM hivyo hawana uwezo wa kuwafanya chochote kama ww ambavyo huwezi kuifanya chochote CCM licha ya uozo wake.

Kwahiyo Tz mnapo kuwa mnalalamika juu ya ufisadi wa CCM basi watz wote akiwemo ww wanatakiwa wafungwe jela kwa kuwafuga mafisadi ,hivi una akili kweli?

Au Amin alipo ivamia kagera na kuuwa mamia ya raia uliona jeshi la Tz linaenda na kuanza kuuwa raia wa uganda hovyo hovyo kisa walikuwa wanamlea Amini?

Sasa tofauti ya Israel na Hamas mnao waita magaidi ni nn iwapo wote wanafanya mambo sawa?

Israel yenyewe sasa hivi ana haha kuwatupia wengine lawama juu ya shambulizi hilo kwa sababu hata yeye anajiona kabisa amefanya shambulizi la kijinga na lililo jaa woga.

Sasa hivi ndo litadhihakiwa zaidi kwa sababu linazidi kufanya mambo ya hovyo na ya aibu ambayo haya endani na jeshi alilonalo ambalo yy na wafuasi wake wamekuwa wakiliita bora.

Israel inacho fanya hakimuoneshi kuwa yeye ana nguvu bali kinaonesha jinsi gani alivyo na jeshi la hovyo na lililo jaa woga,kwa sababu anacho kifanya hata Tz inauwezo wa kukifanya kwasababu gaza haina ID za kuilinda lakini sidhani kama hata jeshi la tz linaweza kufanya upumbavu wa kuuwa raia hovyo hovyo bila sababu.

Kambi za Hamas zinajulikana zilipo ndani ya ukanda wa gaza waende wakapambane na Hamas wawa fute waachane na raia.

Yaani jeshi la watu 450,000 lenye kila aina ya silaha linawaogopa wanamgambo wasio zidi 30,000 tena wenye silaha duni badala yake limekalia kuuwa raia sasa hilo ni jeshi au kundi la wahuni?
 
Kwani Hamas kwenye mashambulizi umeona wamevaa sare. Sasa kisa wamevaa katambuga na shati la draft wakikushambulia usiwashambulie sababu hawana magwanda?
Same way na hospitali au shule, Hamas wanatumia human shield. Wanaficha silaha shuleni, hospitalini na kwenye makazi mengine na wanajificha humo. Wanakuwa na ofisi kwenye apartment na misikiti.
Uliona watoto waliouawa kwenye hiyo hospitali? Hao watoto ni HAMAS?
 
Halafu huwa hawasikii kabisa,wakitwangwa sasa wanakimbilia kwenye Cameras za TV stations wapate coverage ya kutosha,na pengine unakuta wanaopayuka hovyo ni hao hao wafuasi watiifu wa HAMAS.Kwakweli acha watandikwe tu mpaka akili zitakapowakaa sawa na wajitenge na HAMAS
Watapigwe tuu, eeehn! Maana hamna namna nyingine.
 
Mkuu according to Al jazeera hospitali ni ya kanisa na kuna kanisa pia limelipuliwa. So wengi waliokufa ni wakristo....
Gaza ni wakristo !! zaidi ya watu 3500 walikuwa wamekimbilia hapo kupata hifadhi . Vita haina macho , sehemu yeyote ikitumika kufanya mashambulizi inaingia kwenye shabaha ya israel . Vita ya Palestine na Israel , niya kudumu . mataifa 2 ndani ya kipande kimoja Cha ardhi , na kila upande ukitaka full control ya umiliki rasmi.
 
Unavyoongea ni kama vile watu wanachapwa fimbo za matako!! Mkuu watu wanapigwa makombora wanakufa mamia kwa mamia watoto, walemavu, wazee wasiojiweza kwa lolote, akina mama walezi, wajawazito na wengine wengi wasiokua na hatia kabisa, hivi unaangalia hata videos za matukio kweli!!!

Haya mambo yanaumiza sana ila kwakua supu iko mezani saahizi na chai nzito ya maziwa unasahau kabisa kua hawa ni binadamu wenzetu wenye roho kama yako na hisia.

Mungu awasimamie wamalizane kwa amani watu wasiokuwa na hatia hawastahili haya aisee na hii ni kwa pande zote mbili.
Hata wale waliopigwa risasi na kuchinjwa October 7th ni watu pia ila mlikuwa mnashangilia, sasa who laugh last, laugh the best.
 
Hali ni mbaya sana huko Gaza

Inatisha sana

Source Al jazeera news

====

Hamas-run Health Ministry says Israeli airstrike on hospital kills hundreds

Palestinians evacuate wounded from a building destroyed in Israeli bombardment in Rafah refugee camp in Gaza Strip on Tuesday, Oct. 17, 2023. (AP Photo/Fatima Shbair).

Palestinians evacuate wounded from a building destroyed in Israeli bombardment in Rafah refugee camp in Gaza Strip on Tuesday, Oct. 17, 2023. (AP Photo/Fatima Shbair)

KHAN YOUNIS, Gaza Strip (AP) — The Health Ministry run by Hamas said an Israeli airstrike on Tuesday hit a Gaza City hospital packed with wounded and other Palestinians seeking shelter, killing hundreds. If confirmed, the attack would be by far the deadliest Israeli airstrike in five wars fought since 2008.

The health ministry, which is run by Hamas, said at least 500 people had been killed. Photos purportedly from al-Ahli Hospital shared widely on social video showed fire engulfing the building, widespread damage and bodies scattered in the wreckage. The photos could not be independently verified.

Several hospitals in Gaza City have become refuges for hundreds of people, hoping they would be spared bombardment after Israel ordered all residents of the city and surrounding areas to evacuate to the southern Gaza Strip.

Hamas, which sparked the latest war with an attack last week that killed more than 1,400 Israelis, called Tuesday’s hospital strike “a horrific massacre.” It said in a statement that most of the casualties were displaced families, patients, children and women.

Israeli military spokesman Rear Adm. Daniel Hagari said there were still no details on the hospital deaths: “We will get the details and update the public. I don’t know to say whether it was an Israeli air strike.”

In the south, Israeli airstrikes killed dozens of civilians and at least one senior Hamas figure Tuesday as U.S. officials worked to convince Israel to allow delivery of supplies to desperate civilians, aid groups and hospitals after days of failed hopes for an opening in the siege.

ISRAEL-HAMAS WAR: READ MORE
Palestinian families rush out of their homes after Israeli airstrikes targeting their neighbourhood in Gaza City, central Gaza Strip, Tuesday, Oct. 17, 2023. (AP Photo/Abed Khaled).

With Israel barring entry of water, fuel and food into Gaza since Hamas’ brutal attack last week, U.S. Secretary of State Antony Blinken secured an agreement with Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu to discuss creation of a mechanism for delivering aid to the territory’s 2.3 million people. U.S. officials said the gain might appear modest, but stressed that it was a significant step forward.

Smoke rises following an Israeli airstrike in Rafah, southern Gaza Strip, Tuesday, Oct. 17, 2023. (AP Photo/Hatem Ali).

Smoke rises following an Israeli airstrike in Rafah, southern Gaza Strip, Tuesday, Oct. 17, 2023. (AP Photo/Hatem Ali).

Still, as of late Tuesday, there was no deal in place. A top Israeli official said Tuesday his country was demanding guarantees that Hamas militants would not seize any aid deliveries. Tzahi Hanegbi, head of Israel’s National Security Council, suggested entry of aid also depended on the return of hostages held by Hamas.

“The return of the hostages, which is sacred in our eyes, is a key component in any humanitarian efforts,” he told reporters, without elaborating whether Israel was demanding the release of all of the roughly 200 people Hamas abducted before allowing supplies in.

U.S. President Joe Biden prepared to head to the region as he and other world leaders tried to prevent the war from sparking a broader regional conflict. Violence flared Tuesday along Israel’s border with Lebanon, where Iranian-backed Hezbollah militants operate.

With tens of thousands of troops massed along the border, Israel has been expected to launch a ground invasion into Gaza — but plans remained uncertain.

Palestinians flee Israeli bombardment of Rafah, southern Gaza Strip, Tuesday, Oct. 17, 2023. (AP Photo/Hatem Ali)
Palestinians flee Israeli bombardment of Rafah, southern Gaza Strip, Tuesday, Oct. 17, 2023. (AP Photo/Hatem Ali)
Palestinians look for survivors in buildings destroyed by Israeli airstrikes in Deir el-Balah, southern Gaza Strip, Tuesday, Oct. 17, 2023. (AP Photo/Hassan Eslaiah).

Palestinians look for survivors in buildings destroyed by Israeli airstrikes in Deir el-Balah, southern Gaza Strip, Tuesday, Oct. 17, 2023. (AP Photo/Hassan Eslaiah).

“We are preparing for the next stages of war,” military spokesman Lt. Col. Richard Hecht said. “We haven’t said what they will be. Everybody’s talking about a ground offensive. It might be something different.”

In Gaza, dozens of injured were rushed to hospitals after heavy attacks outside the southern cities of Rafah and Khan Younis, residents reported. Bassem Naim, a senior Hamas official and former health minister, reported 27 people were killed in Rafah and 30 in Khan Younis.

An Associated Press reporter saw around 50 bodies brought to Nasser Hospital in Khan Younis. Family members came to claim the bodies, wrapped in white bedsheets, some soaked in blood.

An airstrike in Deir al Balah reduced a house to rubble, killing a man and 11 women and children inside and in a neighboring house, some of whom had evacuated from Gaza City. Witnesses said there was no warning before the strike.

Shelling from Israeli tanks hit a U.N. school in central Gaza where 4,000 Palestinians had taken refuge, killing six people and wounding dozens, the United Nations Palestinian refugee agencysaid. At least 24 U.N. installations have been hit the past week, killing at least 14 of the agency’s staff.

Israeli soldiers gather in a staging area near the border with Gaza Strip, in southern Israel Tuesday, Oct. 17, 2023. (AP Photo/Ariel Schalit).

Israeli soldiers gather in a staging area near the border with Gaza Strip, in southern Israel Tuesday, Oct. 17, 2023. (AP Photo/Ariel Schalit).

Mourners gather around the five coffins of the Kotz family during their funeral in Gan Yavne, Israel, Tuesday, Oct. 17, 2023. The family was killed by Hamas militants on Oct. 7 at their house in Kibbutz Kfar Azza near the border with the Gaza Strip, More than 1,400 people were killed and some 200 captured in an unprecedented, multi-front attack by the militant group that rules Gaza. (AP Photo/Ohad Zwigenberg).

Mourners gather around the five coffins of the Kotz family during their funeral in Gan Yavne, Israel, Tuesday, Oct. 17, 2023. (AP Photo/Ohad Zwigenberg).

The Israeli military said it was targeting Hamas hideouts, infrastructure and command centers.

A barrage of strikes crashed into the Bureij refugee camp in central Gaza, leveling an entire block of homes and causing dozens of casualties among families inside, residents said. Among those killed was one of Hamas’ top military commanders, Ayman Nofal, the group’s military wing said — the most high-profile militant known to have been killed so far in the war.

Nofal, formerly the intelligence chief of Hamas’ armed wing, was in charge of Hamas militant activities in the central Gaza Strip, including coordinating activities with other militant groups.

Netanyahu sought to put the blame on Hamas for Israel’s retaliatory attacks and the rising civilian casualties in Gaza. “Not only is it targeting and murdering civilians with unprecedented savagery, it’s hiding behind civilians,” he said.

In Gaza City, Israeli airstrikes also hit the house of Hamas’ top political official, Ismail Haniyeh, killing at least 14 people. Haniyeh is based in Doha, Qatar, but his family lives in Gaza City. The Hamas media office did not immediately identify those killed.

Israel sealed off Gaza after the Oct. 7 Hamas attack on southern Israel that killed over 1,400 people, mostly civilians, and resulted in some 200 taken captive into Gaza. Hamas militants in Gaza have launched rockets every day since, aiming at cities across Israel.

Israeli strikes on Gaza have killed at least 2,778 people and wounded 9,700, according to the Gaza Health Ministry. Nearly two-thirds of those killed were children, a ministry official said.

Another 1,200 people across Gaza are believed to be buried under the rubble, alive or dead, health authorities said.

More than 1 million Palestinians have fled their homes — roughly half of Gaza’s population — and 60% are now in the approximately 14-kilometer (8-mile) long area south of the evacuation zone, the U.N. said.

Aid workers warned that the territory was near complete collapse. Hospitals were on the verge of losing electricity, threatening the lives of thousands of patients, and hundreds of thousands of people searched for bread and water.

The U.N. agency for Palestinians said more than 400,000 displaced people are crowded into schools and other facilities in the south. The agency said it has only 1 liter of water a day for each of its staff members trapped in the territory.

Israel opened a water line into the south for three hours that benefitted only 14 percent of Gaza’s population, the U.N. said.

At the Rafah crossing, Gaza’s only connection to Egypt, truckloads of aid were waiting to enter. The World Food Program said that it had more than 300 tons of food waiting to cross into Gaza.

Civilians with foreign citizenship — many of them Palestinians with dual nationalities — also waited in Rafah, desperate to get out.

“We come to the border crossing hoping that it will open, but so far there is no information,” said Jameel Abdullah, a Swedish citizen.

Repeated reports that an opening was imminent have proven false as negotiations continued to grind on, including the U.S., Israel and Egypt.

A senior Egyptian official called it a “very tough, complicated back-and-forth process” and said talks were over deliveries through Rafah and Israel’s Karam Shalom crossing to Gaza. He said Israel was insisting to search all aid, and wants to “ensure that such aid won’t benefit Hamas.” He said Egypt proposed that the U.N. oversee the whole process, including inside Gaza. The official spoke on condition of anonymity because he was not allowed to brief the press on the talks.

Officials for Hamas and Israel cast doubt on an immediate opening, saying they were unaware of an agreement.

Blinken arrived in Israel last Thursday with a full-throated message of unequivocal U.S. support for Israel in its campaign to destroy Hamas. But in meetings with seven Arab leaders over the next three days, Blinken’s tone shifted subtly, talking more prominently about the need for humanitarian aid.

U.S. officials said it had become clear by then that already limited Arab tolerance of Israel’s military operations would evaporate entirely if conditions in Gaza worsened. They said that outright condemnation of Israel by Arab leaders would be a boon to Hamas and could encourage Iran, according to four officials who spoke on condition of anonymity to discuss internal administration thinking. That prompted Blinken to press Netanyahu on an aid deal.

Biden’s visit to Israel Wednesday will signal the White House’s support for a key ally. He will also travel to Jordan to meet with Arab leaders amid fears the fighting could spread in the region.

Israel evacuated towns near its northern border with Lebanon, where the military has exchanged fire repeatedly with Hezbollah militants.

Israel said it killed four militants wearing explosive vests who were attempting to cross into the country from Lebanon on Tuesday morning. No group immediately claimed responsibility.

Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei warned that Israel’s continuing offensive in Gaza could cause a violent reaction across the region.

“Bombardments should be immediately stopped. Muslim nations are angry,” Khamenei said, according to state media.

___
Kullab reported from Baghdad. Nessman reported from Jerusalem. Lee reported from Amman. Associated Press journalists Amy Teibel in Jerusalem; Abby Sewell in Beirut; Samy Magdy and Jack Jeffrey in Cairo; and Ashraf Sweilam in el-Arish, Egypt contributed to this report.
Ukiona hivyo maana yake HAMAS walikuwa wamejificha humo wakidhani Israel watatii sheria za kimataifa za kutokushambulia kwenye shule,hospitali nk.
 
Msimamo wao ni Israeli haikosei. Na mauaji wanayofanya yana baraka za mungu wao aliewateua(Marekani).

Hata mwanaume wakiizaeli akitaka kulala na mwanaume wa kikristo ni baraka kwao. Kwani hawatakiwi kuwapinga.
Tena atakuja humu na kuanzisha uzi wakujisifia amepata baraka za kutolewa "marinda" na myahudi
Wewe ongea yote ila mkong'oto ni wajibu wenu kuupokea.
 
Back
Top Bottom