iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Tunasikia tetesi za kufungwa kwa akaunti za bwana yusuph manji,bila shaka huyu ni mmiliki wa biashara.
Hii ikanikumbisha mfanyabiashara kutoka kagera anayetambulisha biashara zake kwa jina la KUGIS,huyu bwana serikali ilitaifisha malori yake ya kusafirisha mafuta,ikayachukua,ikamweka ndani,bahati mbaya yale malori serikali haikuyafanyia kazi yoyote basi tu yakakaa miaka na yakaoza pale yalipowekwa miaka kumi na kadhaa iliyopita mahakama ikaamuru alipwe fidia ya milioni 500 na riba huu
Pia kuna ile meli ya samaki maarufu "samaki wa magufuli"
Kituo cha mafuta mwanza na mengine
Tunataka kurudi huku? Tuna hela ya fidia?