Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,790
Uvumi kuwa kisiwa (marine Camp)kimoja Bagamoyo kimeuzwa kwa kampuni moja ya Afrika kusini yamefika bungeni kwa uthibitisho. Mhe Hafidh Tahir katika swali aliouliza kwa niaba ya mbunge mahiri wa CUF,Mwanawerekwe CUF, Mhe. Ali Salim kutaka kujua kama kweli uuzaji huo ulifanyika na kwa kiasi gani, Wizara ya utalii bara inahusika vipi katika hili na vipi Zanzibar ilihusishwa wakati wizara ya utalii si ya Muungano.
Kwa vile mwenye swali alitoka nje ya bunge kuungana na UKAWA, likakosa muendelezo. Dhamira ilikuwa ni kuchokoza kuwa sehemu iliouzwa ni mamlaka ya Zanzibar na imeporwa na bara kinyemela.
Zanzibar, kwa tafsiri ni mjumuiko wa visiwa vidogo vidogo katika mwambao wa Afrika ya Mashariki, yaani Zanzibar archipelago
Zanzibar archipelago imeundwa na orodha ya visiwa vifuatayo:-
Visiwa vikuu https://en.wikipedia.org/wiki/Unguja
1.Kisiwa cha Unguja, ndio kikubwa zaidi, na mara nyingi kinatambulika kwa jina la anzibarhttps://en.wikipedia.org/wiki/Pemba_Island
2.Kisiwa cha Pemba, kinachofuta kwa ukubwa
3.Kisiwa cha Latham ( Fungu Kizimkazi), kidogo na hakina makazi
4.Kisiwa cha Mafia
Visiwa niliovitaja pia vimezungukwa na visiwa vidogo vidogo.Wakati wa ukoloni wa mwengereza alitawala bara na Zanzibar na hivyo Mafia kiutawala ikawa chini ya Gavana wa Tanganyika kwa niaba ya Zanzibar. Zanzibar ilipopata uhuru 1963 Mafia ilirejeshwa chini ya Mamlaka Zanzibar. Baada ya Mapinduzi mambo ya kiutawala na baadae muungano ya kaanza kwenda shaghla baghla na sasa kuonekana kama kwamba Mafia ni mamlaka ya Tanganyika.
Kabla ya uhuru na kwa vile Mwl.Nyerere alikuwa akiijua Mamlaka ya Zanzibar vizuri, alikaririwa akisema kama angelikuwa na uwezo angekisukuma kisiwa cha Zanzibar mbali zaidi. Nyerere alijua Tangayika hana Mamlaka ya bahari (Zanzibar Channel) na visiwa vilio karibu.Tanganyika wakati huo ilikuwa na chaguo moja tu nalo ni kutumia bahari ya kusini, kuanzia Kilwa Kivinje mpaka Mtwara.
Home tution
Mafia Island
From Wikipedia, the free encyclopedia
A Mafia Island ("Chole Shamba") is part of the Tanzanian Zanzibar Archipelago, together with Unguja, Pemba and Latham Island.