Kuhusu certificate na diploma ni kweli kabisa but kwa wale wenye degree sijui japo inawezekana kuwepo kwenye mpango
diploma na certificate nadhan majina yameshatoko na kuna link humu ndani kuna jamaa aliuweka ila kwa degree sijui ngoja waje watujuze
Intake ya pili inawahusu form six wote waliobaki, certificate wote na diploma watu kama elfu tatu hivi herufi A-J.
Wengine wote waliobaki wanaingia intake ya tatu january 2015
Kuna taarifa zimezagaa mjini kuwa wahitimu wote watajiunga na mafunzo ya JKT ili waweze kujengewa uzalendo na inasemekana ndo itakuwa sifa ya lazima ya mtu kuajiriwa serikalini.
Hii itahusisha wale wa Degree,certificate na diploma mwaka huu (2014) kwani hawa hawakubahatika kupita katika mafunzo hayo,ambayo kimsingi inasemekana yanafaida kwa nchi na ni hitaji la wakat kwa sasa.
Nasistiza hizi ni tetesi naomba mwenye taarifa kamili atujuze ,maana mdogo wangu toka wenzake wamtumie meseji hana raha.
Naombeni ushirikiano ili kama ni kwel tumuandae kisaikolojia na wengine wanaofanana naye.
Source

Ni kwaajili ya walimu tuu