Tetesi: Ustaadhi ilunga kaingia mitini!...

Tetesi: Ustaadhi ilunga kaingia mitini!...

Status
Not open for further replies.

tenende

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
6,511
Reaction score
506
Yule ustaadhi maarufu aliyejitolea kuhamasisha wafuasi wake KULIPA kisasi na kuua viongozi wa kikristo agosti mwaka jana. Sasa hajulikani aliko.

Taarifa nilizozipata hapa MWANZA zinaonyesha kwamba ustaadhi ILUNGA almaarufu SHEIKH ILUNGA hajulikani aliko. Wengi miongoni mwa watu niliozungumza nao hawaaamini kuwa yuko nje ya mkoa wa MWANZA. Wengi wao wanaamini atakuwa kajificha mahali ndani ya mkoa huo..

Hata hivyo taarifa ya AMIR Taifa - (kamati ya kuendeleza uislamu Tanzania) na Wafuasi wake inasema NI KWELI Ustaadhi Ilunga ANATAFUTWA NA POLISI lakini hajatoroka!... Wafuasi wake wanasema kwa sasa yuko INDIA kwa matibabu na polisi wamejulishwa..

Source: Mimi as interviewer na sms toka kwa AMIRI - Taifa..
 
si walisema ameshakamatwa au?
 
Pia siku hizi hata zile hutuba zake hazipatikani you tube sijui zimetolewa.
 
Bado zinapatikana youtube hadi jana usiku,sasa kama kweli alikuwa na haki na dhamira ya kweli asiogope kuhojiwa na polisi au hata kwenda mahakamani kutetea anachokiamini,kukimbia maana yake anawasiliti wafuasi wake aliokuwa anawajengea hoja...nae ni dhaifu hafai kuwa kiongozi shujaa,tena kiongozi wa imani!
 
Kumbe alishaandaa mahali na sababu ya kukimbilia!
 
Bado zinapatikana youtube hadi jana usiku,sasa kama kweli alikuwa na haki na dhamira ya kweli asiogope kuhojiwa na polisi au hata kwenda mahakamani kutetea anachokiamini,kukimbia maana yake anawasiliti wafuasi wake aliokuwa anawajengea hoja...nae ni dhaifu hafai kuwa kiongozi shujaa,tena kiongozi wa imani!
Weweeee, Ilunga hawezi kukimbia kesi ya kijinga kama hiyo. Kwani kwaakili yako alicho kua akikifanya ilunga ni uchochezi? Au haijui nini maana ya uchchezi?
 
Mbona kupitia video zake anasema haogop kukamatwa na hata mahakami yupo tayar kutamka anayohubiri?inashangaza mtu huyu kutokamatwa mda wote.
 
Weweeee, Ilunga hawezi kukimbia kesi ya kijinga kama hiyo. Kwani kwaakili yako alicho kua akikifanya ilunga ni uchochezi? Au haijui nini maana ya uchchezi?

Sasa anakimbia nini?
 
Weweeee, Ilunga hawezi kukimbia kesi ya kijinga kama hiyo. Kwani kwaakili yako alicho kua akikifanya ilunga ni uchochezi? Au haijui nini maana ya uchchezi?

kama unapinga kuwa sheikh ilunga si mchochezi labda wewe ndio utuambie nini maana ya uchochezi mkuu?
 
enyi makafir mbona mnajiuliza halafu mnajijibu wenyewe?, shekh Ilunga alienda India kwa matibabu kabla hata maaskofu hawajaituma serikali imkamate, sasa nyinyi makafir msiokua na akili habari za kukimbia au kujificha shekh Ilunga mmezitoa wapi? Na kwa taarifa yenu maneno aliyozungumza yapo ndani ya Quran hivyo ni vyema kuifuta vinginevyo kina Ilunga wengi wanaendelea kuzaliwa.
 
Na hapa ndipo penye fumbo la imani kwasababu awe alikufa na kufufuka au alitoroshwa akapaa ukweli unabaki ndiye atakayetoa hukumu.

Kwanini atoe hukumu yeye? Mungu Mwenyezi ataenda LIKIZO? Kwa taarifa yako Mungu wa kweli hachoki na hapumziki, so atakuwa kwenye UHAKIMU wake mwenyewe!
 
Tusifanyane watoto.huyu bwana alikuwepo hapa muda mefu tuu. Hawakutaka kumkamata.sasa kaondoka ndo wanazuga kumtaka.
 
Wafuasi wa CHADEMA ndio mabingwa wa kejelu za kidini kwa hiyo usiulize imeingiaje. Kuhusu Yesu mimi sikumtaja wewe ndiye uliyemuingiza hapo. Huo UPUUZI mwingine ni imani yako kama unavyoamini MVINYO ni damu ya Mwokozi wako!

Kila kitu CHADEMA, kweli inawanyima usingizi,
 
Huna akili wewe unamuabudu binaadam mwenzio, ilunga kichwa kile, wafanye haki na wasitumie nguvu kuhojiana nae waone, hakuna hata kimoja anachokiongea kuwa ni uongo, vyote kweli, kwa mujibu wa Qur'an na hadithi, kama hivyo waikamate Qur'an waifungie maana ndo iman inasema hivyo, na ana haki ya kuhubiria iman yake na ana haki hiyo kwa sababu ni ibada kufanya hivyo! Mkishindwa ukweli mnatumia nguvu kisingizio amani acheni zenu bhanaaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Tanzania ni nchi iliyojengwa bila mfumo wa kidini, ni ajabu kumuona huyu shekhe ILUNGA katika YOU TUBE akichochea kikundi chake kipambane na wakristo, hebu wenye kuweza kutembelea hio you tube wataona anachozungumza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom