ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 199
Magereza zetu zimejaa watu ambao kosa lao ni umaskini. Mfumo wote ni rushwa. tunajenga mfumo usiokua wa haki na CCm uliojengwa kwa miaka 50 ili kuepuka mfumo huu ni lazima kuiangamiza CCM.
nani nduguye mkuu?Ameenda kula sikukuu kwa ndugu yake
mkuu vipi mahudhurio ya wananchi?wanachokidai watu wa mtwara watu wa songe wanahitaji kukipigania kama ilivyo makaa ya mawe yanachukuliwa songea kwa maamuzi ya rais. anabishana na wananchi kuwa hawajaanza kuchimba madini wakianza mtaona risas na virungu. anasema nyomongo wameua wananchi zaidi ya 60 kwasababu wananaishi nchi ya madin ya dhahabu iliyouzwa kwa wazungu.
Huo ni mkutano wa ndani au wa adhala manake nijuavyo mikutano ya adhala inahitaji kibali au niite taarifa ya polisi. Naomba kueleweshwa
mkuu vipi mahudhurio ya wananchi?
kila la heri tutapenda pia kupata Update!kwa taarifa niliyonayo kutoka kwa katibu wa chadema madaba kamanda lisu atapitia madaba tr 30 nawataarifu wanaJF kwamba madaba ni chadema magamba na jenista wao presha juu.
Duh, mkuu umenikumbusha mbali sana, hivyo ni vijiji vyangu wakati nilipokuwa huko.Kamanda afanye mpango aende kwenye kata ya Kilagano maeneo ya Mgazini, kilomita 15 kutoka Peramiho. huko kata nzima ni Chadema na waliwahi kumtimua mbunge wa CCM alipoenda kwenye kampeni huko.
Kweli yupo atahutubia kata ya Majengo.Madiwani wote wa CDM kutoka kata ya Lizaboni,Majengo wanaendelea na maandalizi ya kumsikiliza Lissu hapo saa 8.30.
mbona ratiba ni ndefu hivo? Kulikon?taarifa nilizopata Lissu kesho atakua bombambili keshokutwa ruvuma na kisha Lizaboni nilikua uwanjani matalawe huyu jamaa kweli ni Jembe tena chapa Mamba