ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
Habari zenu wana JF,Na hongereni kwa kusheherekea sikukuu ya Christmass! Nimepigiwa simu na rafiki yangu aliyepo Songea,kaniambia kwamba mbunge machachari wa Singida Mashariki Tundu Lissu(CHADEMA). Alikwenda songea kwa mapumziko binafsi ya sikuu ya Chrismass. Hata hivyo wananchi wengi wamemuomba awahutubie kabla ya kuondoka. Inasadikika amekubali kuwahutubia, mkutano huo utafanyika saa 8 mchana. Wana JF kama kuna mtu yuko huko anaweza akatupa Update zaidi.
Nawasilisha.
Nawasilisha.