TETESI: serikali yatoa vibali vya kuagiza sukari.

pakaywatek

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,651
6,275
Ni baada ya kuonekana kuwa kuna mapungufu, Hii serikali kweli inaendeshwa kwa mizuka.
 
Mzuka.. mzuka.. mzuka.. Umepanda mwanangu chukuen vibari vya sukar bt kimyakimya au vp? Mi ndo Lipombe
 
Mtoa uzi ndio umekurupuka na kupandisha mzuka. Ninachofahamu ni kuwa raisi hajafuta au kupiga marufuku vibali vya kuagiza sukari, bali ameongeza udhibiti kwa kuamuru kuwa badala ya mkurugenzi mmoja pale bodi ya sukari kuachiwa uhuru wa kutoa vibali hivyo, sasa vibali vitatoka kwa ruhusa ya Prime Minister. Zamani hawa wakurugenzi walikuwa wanacheza deals na wafanyabiashara wasio waaminifu....
 
Ivi wakuu huyu mkuu wa nchi ataipaisha lini DOLA maana natamani ipande ili nifanye biashara zaidi.
 
Back
Top Bottom