Tetesi nzito za kutisha: Kambole out, Manzoki in, Barbara shauri zako

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Dada msomi, dada mzungu ,msouth america, mlatino , m colombia, miss gonzalez, masihara yakizidi hutumbua usaha, the chickens are coming home to roost

Hizi tetesi kama ni kweli narudia tena kama ni kweli aisee utakuwa kwenye wakati mgumu sana , yaani hadi nakuonea huruma kwa kweli najaribu kujenga picha ile loyal fan base yako including mimi itakavyokuwa na hasira na wewe

Msimu ulioisha kila mtu alijua lazima waje namba 6 na namba 9 wanaojua kwelikweli siyo wa kubahtisha , mkaamua kuleta ma pro Dejan na Akpan, na tatizo bado lipo , dah Mungu wangu huku mkiweka malengo ya nusu fainali CAF

Sasa dada wakati tunaendelea kusubiri wachezaji wa simba wazoee na kujifunza mikimbio ya mzungu habari zinadai yanga wanamchukua manzoki na wanamuacha kambole na kama inavyojulikana mwisho wa kupeleka majina CAF kwa faini ni 30th august

Nakutakia kila la kheri sana katika ukurasa mpya wa kujitetea kwa wanasimba hakika kama ni kweli utakuwa umepigwa bonge la kofi na Engineer Hersi na itakuwa aibu ya mwaka ,maana mnapenda pesa ziingie tu kutoka ni shida

Narudia tena itafika point hadi utaona aibu kutoka nje ya nyumba yako labda mikimbio ya mzungu iwe imeanza kuzaa matunda.
 
Simba sio Manzoki, na Manzoki sio Simba!
Huwez kumpa pesa mchezaji anayeongezewa Bei na timu yake isivyo sawa Ili TU kuwafurahisha mashabiki
Kwahiyo wachezaji wooote namba 9 wa kusaidia team walikosekana akaja Dejan ambaye inabidi mikimbio yake izoeleke kwanza, unadhani manzoki itamchukua dakika ngapi kuanza kufunga bongo?
 
Mimi ni Yanga ila nawashangaa simba upumbav walioufanya kumuacha Manzoki... Na nimeona ktk mitandao ya kijamii Manzok amewahi kuandika anapenda kucheza pamoja na Aziz Ki na Mayele... Hivi hamjiulizi kwanin Yanga hawakusita kuvunja bank kumnunua Aziz Ki..? Si mnaona balaa lake uwanjani... Ukweli ni kwamba Yanga imetumia pesa nyingi kwa Aziz Ki nadhan ndio maana jamaa anajituma sana uwanjani pamoja kwamba ana uwezo mkubwa ila anajituma sana... Simba kiukweli hakuna mfungaji magoli wakutegemewa pale, nina imani michuano ya kimataifa simba this time haitafika Robo Fainali...
 
Simba inatolewa preliminary round tena Kwa aibu kubwa sana
 
Toa Hela umsajili wewe
na wewe kaanzishe forum yako uandike pumba zako kwa nini una comment kwenye forum ya Mexence Melo?
MANZOKI asikupe shida ni mchezaji wa kawaida tu.
sawa una haki ya maoni yako, maswali yangu ni haya: KAMA SIMBA INA LENGO LA KUFIKA NUSU FAINALI NA TANGU USAJILI UNAANZA ILIJULIKANA NAMBA 6 NA 9 NI SHIDA , JE AKPAN NA DEJAN NI SULUHISHO?
AFRIKA NZIMA WALIKOSEKANA WACHEZAJI WA KU COVER HIZO NAMBA ? SIYO LAZIMA MANZOKI
 
Aliekwamisha dili la MANZOKI ni Klab yake ya sasa.

Kuna tetesi nyingine zinasema Simba inampeleka Mzungu Singida na kubadilishana na Mbrazil.

Huyo Manzoki ana mkataba tayari wa Simba na atasajiliwa free dirisha dogo likifunguliwa.
ule ni mkataba wa awali tu hauna nguvu, anaweza hata akarudisha fedha walizompa. kwa vyovyote vile viongozi wajue anahitajika sharp shooter pale mbele na kiungo aina ya semanga soze
 
Back
Top Bottom