Kweli mkuu maana jana imekabidhiwa kwa rais wa zanzibar, ila kiuchumi tutakuwa hoooi kama Zimbabwe muda c mrefu au wanatengeneza mazingira ya kuiba fedha nyingi kiurahisi
Mkuu mleta thread nadhani umechanganya
Kwenye kusikia kwako kinachosemwa ni
sarafu yenye thamani ya elfu hamsini na sio
noti kama ulivyosikia pia pesa hiyo haitatumika kwenye mzunguuko huu wa kawaida.
Yaani kama kununua chochote kama unga,sigara n.k zaidi ni maalum hasa Zanzibar inapoadhimisha miaka hamsini.
Kama sijakuelewesha vizuri nadhani pia
watakuja watu wengine kwaufafanuzi nzuri.
Hiki kipande cha Dunia kisicho na jina wala Identity, Mara Tanganyika, Mara, Tanzania Bara, Tanzania visiwani, Zanzibari Zanzibara, Unguja, Pemba, Kanda ya Kaskazini hakiishi vituko. NDUGU zangu Wakenya, Im planning to Migrate to Niarobi, you are better of!!!!!!!!!!!
dah! kiuchumi maana yake uchumi umepiga mweleka na ikiwa hivyo na hawa mateja wetu akikupick pocket tu! maana yake chali kama ndo hizo hizo ulikuwa nazo.
NILIPOZURUuGANDA MWISHONI MWA MWAKA JANA nilizikataa noti zaelfu hamsin badae nkazipenda unakula mshikak mmoja mkubwa pale cooper complex unalipa notiya 50,000/=na chengi unapewa bila kelele..watu wanapenda kutoa chengi kupunguza mzigo wa noti mifukoni...
Ni sarafu imetolewa kama zawadi ya miaka 50 ya mapinduz z'bar na wala haitaingia kwny matumiz ya kawaida...kama una uwezo nenda benk ukainunue maana inapanda thaman kila mwaka.
Nasisitza sio pesa kwa ajil ya matumizi ya kawaida ndo maana imeandikwa maneno ya pongez!