Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,175
- 9,898
Mkuu Shikamoo, hii 👆 codesLife span Man,
majukumu siyo ya mwanamke ni wewe kama Baba unasimamia otherwise unakabidhi.
Mara 3 mi mwenyewe nimekabidhiwa koo 2 tofauti.
Ukiwa na nguvu hiyo,ukinyanyua kidole tu kuna watu wanapiga chini.
Kuna sauti nikitoa watu wanaanguka,mi sio nabii sijui chochote kuhusu unabii,
nna ulokole wangu tu kimya.
Yule Pastor wa malawi alishindwa kuniangusha.
TB Joshua alisema hapa tuna mwamba mkavu tusiguse.😅😅😅😅🤣