Tetesi: Kangi Lugola Amewekewa Pingamizi

Tetesi: Kangi Lugola Amewekewa Pingamizi

Stevemike

Senior Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
117
Reaction score
15
Kuna tetesi kuwa mbunge wa jimbo la Mwibara anayetetea nafasi yake kwa tiketi ya ccm mh. Kangi Lugola amewekewa pingamizi ingawa ameshinda kwa kishindo kikubwa sana kura za maoni. kama kuna mtu anayejua kwa undani zaidi atujuze wana jf.
 
Nafikiria tu mtindo wa kugawa masurufu maana wanaotetea nafasi zao basi wanatetea kwa zilezile walizopewa hivi karibuni. Lakini tuwasubiri waliokaribu tutafaham zaidi
 
Back
Top Bottom