TETESI: Kamanda Simon Sirro awa Kamanda wa Kanda maalum ya Dar es salaam

TETESI: Kamanda Simon Sirro awa Kamanda wa Kanda maalum ya Dar es salaam

Status
Not open for further replies.

mzushi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
3,094
Reaction score
4,255
Kamanda Simon Sirro awa Kamanda wa Kanda maalum ya Dar es salaam
 
Tupe source sio mtu ukikosa cha kufanya unaamua t kujiandikia uharo
 
Jina la mtoa mada linatoa jibu "MZUSHI". Hakukosea aliye kubatiza hilo jina.
 
vip kijicho hajawekwa chini ya ulinzi?
 
Lete Dompo ntalipa asubuhii! kama ni kweli lakini
 
Jana nimeangalia taarifa ya habar nimeona Kova akiongea na cheo chake ingali kikiwepo sa sijui labda wamtengue usiku wa manane
 
Mbona hadi jana Kova alikuwa kazini?

Sirro nilimuona ni mtu safi 2010 wkt wa kutangaza matokeo ya ubunge Nyamagana wakati huo alikuwa RPC wa Mwanza hakuwafukuza wananchi waliokuwa wanalazimisha matokeo yatangazwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom