kokudo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 2,571 Reaction score 1,783 Jan 23, 2011 #1 Mwenye khabari atujuze jamani kama kweli au la!
Kituku JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 238 Reaction score 24 Jan 23, 2011 #2 Chanzo plizzz,
Mathias Byabato JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,049 Reaction score 773 Jan 23, 2011 #3 Si kweli jana kuliikuwa na tetesi hizo.Ukweli ni kuwa Mzee Yusuph alikuwa anaumwa na alilazwa kwa muda Mkoani Pwani lakini kwa sasa yuko Zanzibara buheri wa afya.Nimesikia taarifa za kukanusha tetesi za kifo hicho kupitia TBC FM
Si kweli jana kuliikuwa na tetesi hizo.Ukweli ni kuwa Mzee Yusuph alikuwa anaumwa na alilazwa kwa muda Mkoani Pwani lakini kwa sasa yuko Zanzibara buheri wa afya.Nimesikia taarifa za kukanusha tetesi za kifo hicho kupitia TBC FM
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Jan 23, 2011 #4 kokudo said: Mwenye khabari atujuze jamani kama kweli au la! Click to expand... lakini pia ungefafanua ni yusuf yupi: ma thread au mzee wa mipasho.
kokudo said: Mwenye khabari atujuze jamani kama kweli au la! Click to expand... lakini pia ungefafanua ni yusuf yupi: ma thread au mzee wa mipasho.
kokudo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 2,571 Reaction score 1,783 Jan 23, 2011 Thread starter #5 Kituku said: Chanzo plizzz, Click to expand... Chanzo kuna m2 kanisms jana ucku na ndo maana nikatafuta hapa uhakika kama kuna anaejua
Kituku said: Chanzo plizzz, Click to expand... Chanzo kuna m2 kanisms jana ucku na ndo maana nikatafuta hapa uhakika kama kuna anaejua
kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Jan 23, 2011 #7 kokudo said: Mwenye khabari atujuze jamani kama kweli au la! Click to expand... mzee yusuphu makamba! ?
kokudo said: Mwenye khabari atujuze jamani kama kweli au la! Click to expand... mzee yusuphu makamba! ?