Nyang'omango
Senior Member
- Nov 6, 2011
- 194
- 87
Nilipata kusikia kuwa aliekuwa Gavana wa BOT yu hai na alikuwa na shauku ya kuludi Tz na habari hiyo ilitamka kuwa ametoa cku za ujio wake,story hiyo iliishia wap..? Je kuna ukwel wowote ndan yake...? naomba mnijuze wana JF
Kweli wewe ni Junior Member.
halafu ujue hajakuelewa !Kweli wewe ni Junior Member.
Jibu swali mkuu...!!
Nilipata kusikia kuwa aliekuwa Gavana wa BOT yu hai na alikuwa na shauku ya kuludi Tz na habari hiyo ilitamka kuwa ametoa cku za ujio wake,story hiyo iliishia wap..? Je kuna ukwel wowote ndan yake...? naomba mnijuze wana JF
Jeanamu kumbe sikuhizi mtu akienda anarudi?!
Halafu ujue hajakuelewa !