Shida reforms hazijafanyikaZa asubuh waku uku Mbeya mjin tetemeko limepita yan sio poa kabisa apa usingiz umekat wa watalam mtujuze shidann
Wewe ni mgeni huko, mbona ni kawaida wala usiwe na hofu.Za asubuh waku uku Mbeya mjin tetemeko limepita yan sio poa kabisa apa usingiz umekat wa watalam mtujuze shidann
Hao majirani walianza kupigana?Madhara sio makubwa ila limeacha nyufa kwenye kageto kangu na taharuk kwa majilan
limepita ndy kdg sio kivile nadhan kama kote limepita kwa style nlosikia mm hakuna madhara makubwaZa asubuh waku uku Mbeya mjin tetemeko limepita yan sio poa kabisa apa usingiz umekat wa watalam mtujuze shidann
😄😄😄😄😄👊👊👊👊👊Shida reforms hazijafanyika
Kama halijabomoa quarters za polisi basi siyo tetemeko zuri.Za asubuh waku uku Mbeya mjin tetemeko limepita yan sio poa kabisa apa usingiz umekat wa watalam mtujuze shidann