KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,455
- 5,459
Kwa vile nipo mbali na sehemu husika sina taarifa kuhusu madhara yaliyotokea. Tunawaomba waishio maeneo hayo watupe taarifa kuhusu hilo.Kuna madhara yoyote?au limeangusha mabuyu tu
UgogoniNi wapi huko kwa hapa Tz
Manyoni huko Singapore.Ni wapi huko kwa hapa Tz
Asante mkuuManyoni huko Singapore.
Jina lako linafanana na mlima Saranda. Kama upo mbali haraka ya nini kuripoti? Au uonekane wa kwanza kuleta uzi humu? Aliyekupa taarifa alitakiwa akupe details ili uripoti sahihi humu jamvini.Kwa vile nipo mbali na sehemu husika sina taarifa kuhusu madhara yaliyotokea. Tunawaomba waishio maeneo hayo watupe taarifa kuhusu hilo.
Ni kijiji cha mwisho cha mkoa wa singida ukiwa unaelekea hapa Dodoma kiko wilaya ya ManyoniNi wapi huko kwa hapa Tz
Asante sana Kitonga. Ni kweli jina langu linafanana na mlima Saranda. Ila pia nimeona jina lako linafananafanana na Mlima Kitonga na hilo halinishangazi. Nimeeleza wapi nilipozipata taarifa hizi na pia ipo ramani ikionesha sehemu husika. Jamiiforums inatuomba tupatapo taarifa ambazo watu wangependa kuzisikia basi ni vyema tuzitoe ili wengi wetu wazielewe.Jina lako linafanana na mlima Saranda. Kama upo mbali haraka ya nini kuripoti? Au uonekane wa kwanza kuleta uzi humu? Aliyekupa taarifa alitakiwa akupe details ili uripoti sahihi humu jamvini.
Saw kiongozi. Nipo hapa Ruaha Mbuyuni. Kwema huko Manyoni?Asante sana Kitonga. Ni kweli jina langu linafanana na mlima Saranda. Ila pia nimeona jina lako linafananafanana na Mlima Kitonga na hilo halinishangazi. Nimeeleza wapi nilipozipata taarifa hizi na pia ipo ramani ikionesha sehemu husika. Jamiiforums inatuomba tupatapo taarifa ambazo watu wangependa kuzisikia basi ni vyema tuzitoe ili wengi wetu wazielewe.
Ofisi ipi ulikwepo? Pale shuleni kwako shule ya msingi Saranda au Ofisi ya Mtendaji wa kijiji?Nilihisi kitu kama hicho nikiwa kazini,ila nikaona kama ni mimi peke yangu ndio nimefeel hakuna hata mmoja wetu pale aliegundua kitu...
Umejuaje,ni pale ofisi ya mtendaji wa kijiji...Ofisi ipi ulikwepo? Pale shuleni kwako shule ya msingi Saranda au Ofisi ya Mtendaji wa kijiji?
Ni Singida, maeneo ya karibu na Manyoni. Tunacho kituo cha kupima matetemeko Singida mjini na Manyoni piaNi wapi huko kwa hapa Tz
We Mnyalukolo, Mbukwenyi . Nilitegemea hao jamaa wa Kintinku wataleta taarifa zaidi lakini hadi sasa hawajaleta. Nadhani kuna tatizo la mtandao ndo maana hatujapata mrejesho. Asante.Saw kiongozi. Nipo hapa Ruaha Mbuyuni. Kwema huko Manyoni?
Mbona hukuendelea kutuletea taarifa kamili we agweee??
I like Kentucky chicks.Taarifa mitandaoni zinaeleza kuwa leo tarehe 10 Mei, 2022 saa 9:22 mchana limetokea tetemeko la ardhi Kusini mwa Kintinku. Tetemeko hilo lilikuwa na ukubwa wa 4.30 kwenye kipimo cha Ritcher. View attachment 2219172