Tetemeko( earthquake) limepita tena mkoani Mwanza

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,327
Reaction score
1,684
Nikiwa safarini tumesimama Magu kwenye kizuizi cha barabarani kuna tetemeko limepita sasa hivi 13:57 tafadhali vipi huko ulipo hali iko vipi?
 
Hiyo saa ulioandika mbona bado haijafika? Au Mwanza sio Afrika Mashariki!?
 
Limefika, na Misungwi limemua askari polisi wa kike (kwa mshtuko)
 
Back
Top Bottom