Hivyo vitabu vinasomwa kwenye Radio ya Jamii na kuonyeshwa kweenye public TV ?
Dogo na wenzake wa aina yake wabadilike.., nadhani hakuna kipindi ambacho Tanzania wanamuziki wengi wana talent sana, melody nzuri.., vionjo vya kupendeza ila maudhui sio ya kistaarabu.., sidhani kama kubadilisha maudhui ya nyimbo zao kutapoza uzuri.., kwanza ndio miziki yao itadumu zaidi