Testicular torsion: Je, naweza pona bila kufanyiwa upasuaji?

The 13

JF-Expert Member
Oct 14, 2018
2,843
3,259
Wakuu naombeni masaada maana pumbu moja nene nyingine ndogo. nimejaribu kufatilia kwa haraka nimeona tiba ni upasuaji.

Je, kunatiba bila upasuji?
 
Kama haikuletei shida iache usiipasue. Hata sisi binadamu, wengine Wana vichwa vikubwa na wengine vidogo ila Kama havileti shida, tunaviacha tu siyo ugonjwa. Ingekuwa ugonjwa upasuaji ungeanzia magogoni.
 
Naogopa nisije pata shida ya uzazi mbeleni.afu sipo huru demu apo chezea mkunyenye.
 
Hapana,njia sahihi na ya uhakika ni upasuaji tu.Tena ni vizuri uwahi mkuu ili kuokoa hyo testicle yako ingali bado hai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom