test yo self..

test yo self..

Chemsha bongo ya mtoto ambae hajazaliwa bado
 
.Mbona unaleta utani?Tumia BODMAS mwanaume.Jibu ni 16
 
Ndo tabu ya kukimbia Math Chekechea mwenyewe anaona kauliza guuumu! Ngoja nikaendelee Kudifferentiate.:juggle:
 
Ngoja kwanza tuliundie tume swali ili utafiti wa jibu ufanyike maana mtoa swali anaonekana ana wenge kali mno
 
Back
Top Bottom