Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,839
- 132,077
Mkuupasco wafaa sana kuwa reporter wa matukio..ukirudi bongo ukajiajiri aisee kwenye media
Wamekufanya nini chuki mbaya sanaNitashukuru ikiwa waamerika watakufa wengi,wakikosakosa angalau kumi tu.wengine mungu awanusuru.
wanaongoza kwa kuua na kusababisha maafa katika nchi nyingi duniani.ni wenye tamaa na wabinafsi,ndio sababu nimesema hivyo.Wamekufanya nini chuki mbaya sana
Nitashukuru ikiwa waamerika watakufa wengi,wakikosakosa angalau kumi tu.wengine mungu awanusuru.
Hakuna cha chuki hapo! Wenyewe wanauwa na wenyewe acha wauliwe pumbavu zaoWamekufanya nini chuki mbaya sana
mkuu hawa watu wanafanya dunia iwe nyekundu,imezingirwa na damuHata mimi pia nilitamani iwe ivo
mkuu hawa watu wanafanya dunia iwe nyekundu,imezingirwa na damu
hawana akili au wana macho ila wanayatumia kama vitobo,na masikio kama madishi.Sana. Hawa watu ni sumu,hawafai hata kidogo! We chukulia tu mfano m.east wameanzisha wakaondoka, sasa wamebaki wanauwana wao kwa wao, Iraq,libya,misri,syria kote huko hakuacha...syria kwa sasa baadhi ya miji mikubwa yamebakia magofu tu, cha kushangaza kuna washenzi bado wanawashobokea hawa watu
Hii thread ni ya mwaka 2008, labda uwauwe na wewe leo hii 8th March,2016.Nitashukuru ikiwa waamerika watakufa wengi,wakikosakosa angalau kumi tu.wengine mungu awanusuru.
Hukumu ni kazi ya Mungu, Mungu ndiye ajuae atawafanya niniwanaongoza kwa kuua na kusababisha maafa katika nchi nyingi duniani.ni wenye tamaa na wabinafsi,ndio sababu nimesema hivyo.
hawana akili au wana macho ila wanayatumia kama vitobo,na masikio kama madishi.