J Jibaba Bonge JF-Expert Member Joined May 6, 2008 Posts 1,246 Reaction score 404 Apr 21, 2011 #1 Mshikamano Uwajibikaji Ufagio wa chuma Uaskari wa miavuli Kasi mpya, nguvu mpya, ari mpya Kasi zaidi, nguvu zaidi, ari zaidi Kuvua magamba katika zote hizi hakuna iliyofanya kazi kwa manufaa ya wananchi
Mshikamano Uwajibikaji Ufagio wa chuma Uaskari wa miavuli Kasi mpya, nguvu mpya, ari mpya Kasi zaidi, nguvu zaidi, ari zaidi Kuvua magamba katika zote hizi hakuna iliyofanya kazi kwa manufaa ya wananchi
fredmlay JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 1,849 Reaction score 391 Apr 21, 2011 #2 Amakweli.....
W warea JF-Expert Member Joined Jan 22, 2010 Posts 244 Reaction score 68 Apr 21, 2011 #3 Inakuwaje CCM inashinda kila wakati? Hivi ni kweli watu wanafurahishwa au kushabikia hiyo misemo?
Tajy JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 298 Reaction score 24 Apr 21, 2011 #4 Your absolutly correct,hakuna hata moja iliyoleta mageuzi yeyote kwa wananchi zaidi ya upupu na udanganyifu.hata la kuvua gamba ni wimbo tu uliozoeleka!gamba gumu tena lenye ukurutu uliokithiri hata limwagiwe maji ya moto halitasafika kamwe
Your absolutly correct,hakuna hata moja iliyoleta mageuzi yeyote kwa wananchi zaidi ya upupu na udanganyifu.hata la kuvua gamba ni wimbo tu uliozoeleka!gamba gumu tena lenye ukurutu uliokithiri hata limwagiwe maji ya moto halitasafika kamwe