ninapenda terrazo kweli kweli nami nimetafuta mafundi inaonekana hawana hy uelewa.. ila ni.expensv kweli kweli... terrazo ndo mpango mzima
Kuna fundi nimempata ndiyo anaifanya hiyo kazi kwangu. Ikiwa nzuri nitakupa mawasiliano yake, hata cost zake zipo fair sana.
Terrazzo old fashion!!!!!Usiangalie tu cheapness angalia na fashion, pamoja na maintanance cost. Hapa kwetu sakafu za mbao siyo maarufu, yaani sijawahi ona kwenye nyumba ya mtu. Mbao zinazofaa kwa sakafu ni zile za tiki ambazo ni ngumu sana, ni ghali sana hizi mbao. Kwa kuwa si maarufu basi hata mafundi wazuri hutawapata itabidi uagize kutoka nje. Maintanance cost ya floor ya mbao ni kubwa.Hivyo hii option achana nayo.
Terrezo ni old fasion. Duu na sijui kwa nini umewaza hizi kitu.
Option nyingine ni kutandika kapeti floir nzima. Hii ni nzuri na ibapendeza. Ila watu wengi wana ogopa kapeti kuchafuka hasa kwa kumwagiwa vitu kaka maji, vyakula mikojo ya watoto n.k. Lakini siku hizi kuna machine nzuri zinatumia umeme na maji ya sabuni unaweza kusafisha kirahisi kila linapochafuka.
Kuondoa complication ndo maana watu wanaweka tu tiles
pls do tht for me..sitak kbs matiles mie... nitashukuru sana
Terrazzo old fashion!!!!!
Worry not, baada ya kumpata nikatembelea kazi zake kama mbili tatu na picha zake nikaridhika. Wacha vitendo yake viongee sasa, nitakupa jibu. Kasema mpaka Jumamosi atakuwa anamaliza kazi
😍Yeah! Mtuache wahenga
dah naipenda terrazo sijapata sikia...yaan nahis hyo nyumba ndo yang ss...anafanya kwa sq m au?
Anafanya kwa square meters ingawa mdomo na ukubwa wa kazi vinadaidia.
Square meter moja 9,000/ kam materials ni zako. Njia hii ni rahisi zaidi, nitakuelekeza materials zote zinakopatikana.
Mambo, nilikuwa natafuta fundi mzuri wa Terrazo. Unaweza ukashare kazi ya fundi wakoWorry not, baada ya kumpata nikatembelea kazi zake kama mbili tatu na picha zake nikaridhika. Wacha vitendo yake viongee sasa, nitakupa jibu. Kasema mpaka Jumamosi atakuwa anamaliza kazi
Mkuu vipi huyu fundi wako hajamaliza kazi tu? Mi pia nataka kuona hii kitu aisee inanivutia sana kuweka baadhi ya maeneo nyumbaniAnafanya kwa square meters ingawa mdomo na ukubwa wa kazi vinadaidia.
Square meter moja 9,000/ kam materials ni zako. Njia hii ni rahisi zaidi, nitakuelekeza materials zote zinakopatikana.
lete mrejesho mkuuAnafanya kwa square meters ingawa mdomo na ukubwa wa kazi vinadaidia.
Square meter moja 9,000/ kam materials ni zako. Njia hii ni rahisi zaidi, nitakuelekeza materials zote zinakopatikana.
lete mrejesho mkuu
utanisaidia sana aisee..mie nilimpata m1 sq m1 17000..alafu akawa hajiamin maana nilikua namsisitiza sana nikaja gundua yy ni fake tu anatafta wa dar aniletee
Mambo, nilikuwa natafuta fundi mzuri wa Terrazo. Unaweza ukashare kazi ya fundi wako
Mkuu vipi huyu fundi wako hajamaliza kazi tu? Mi pia nataka kuona hii kitu aisee inanivutia sana kuweka baadhi ya maeneo nyumbani
lete mrejesho mkuu
Bila picha itawezekana kweli? 🙄Nilishakamilisha kitambo ingawa mistake niliyofanya ni kwamba nilikuwa na safari!! Nikampa materials zote na hela yake yote, mwishoni tulisumbuana sana lakini kazi iliisha!!
Panavutia na nilipiga terrazzo ya rangi nyeusi ipo kama "mabo"
picha na gharama mkuu, kama hutajaliNilishakamilisha kitambo ingawa mistake niliyofanya ni kwamba nilikuwa na safari!! Nikampa materials zote na hela yake yote, mwishoni tulisumbuana sana lakini kazi iliisha!!
Panavutia na nilipiga terrazzo ya rangi nyeusi ipo kama "mabo"