Huyu alifariki wiki iliyopita tarehe 7 akiwa na umri wa miaka 64.
Unemployment Benefit 40 (UB40), yaani posho ya kutokuwa na ajira unalipwa paundi 40 za uingereza, kibao chao Red Red Wine kilitikisa dunia.
Aisee! Dunia inaenda kasi sana na binaadamu pia siku zetu za kuishi zinaenda kasi zaidi. Wengi hufariki bila wengine kufahamu kwa wakati. Ukija kusikia unaambiwa "mbona fulani alishazikwa tumemsahau?!"
Huyu alifariki wiki iliyopita tarehe 7 akiwa na umri wa miaka 64.
Unemployment Benefit 40 (UB40), yaani posho ya kutokuwa na ajira unalipwa paundi 40 za uingereza, kibao chao Red Red Wine kilitikisa dunia.
Kundi lote lilikuwa ni la vijana wasio na ajira na bendi ilianzishwa kwa pesa ya posho, hivyo kwa heshima ya posho ikabidi bendi iitwe kwa kifupi UB40.