Kuna nyimbo nyingi za aina hii lakini huwezi zapata kwa tafsiri ya kiswahili wala kiingereza...Mwenyezi Mungu awabariki wote walioshiriki kutunga nyimbo hizi za TENZI ZA ROHONI.
Hizi ni baadhi tu ya nyimbo hizo zinazogusa moyo (Heart touching songs)
1.Mungu ni Pendo
2.Usinipite Mwokozi
3.Salama Rohoni
4.Yesu unipendaye
5.Mwamba wenye imara
6.Nataka nimjue Yesu
7.Bwana u sehemu yangu
8.Ni tabibu
9.Kumtegemea Mwokozi
10.Kaa nami
11.Bwana Mungu nashangaa kabisa.
Wakati mwingi unatembea au uko busy na shughuli zako unajikuta unaimba tu peke yako, unahisi amani ya ajabu ndani ya moyo wako.
Muwe na siku njema wana wa Mungu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mwenyezi Mungu awabariki wote walioshiriki kutunga nyimbo hizi za TENZI ZA ROHONI.
Hizi ni baadhi tu ya nyimbo hizo zinazogusa moyo (Heart touching songs)
1.Mungu ni Pendo
2.Usinipite Mwokozi
3.Salama Rohoni
4.Yesu unipendaye
5.Mwamba wenye imara
6.Nataka nimjue Yesu
7.Bwana u sehemu yangu
8.Ni tabibu
9.Kumtegemea Mwokozi
10.Kaa nami
11.Bwana Mungu nashangaa kabisa.
Wakati mwingi unatembea au uko busy na shughuli zako unajikuta unaimba tu peke yako, unahisi amani ya ajabu ndani ya moyo wako.
Muwe na siku njema wana wa Mungu.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nikiimba naona uwepo wa YESU unanizunguka...
Napenda kuimba...
Soon nitaanza kupray and worship..
On my dead body...So ni Muislamu?
Hakuna kitu kinanikera kama hiko, tune original zina upako sana, waliotunga walikuwa katika uwepo wa ROHO MTAKATIFU sasa wao wanakaa zao vijiweni wanajitungia tungia tu na vitune vyao vya ajabu ajabu kutafuta umaarufu tu, si watunge nyimbo zaoooo [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Kuna wahuni wanaimba tune za ajabu ajabu hazina upako kama tune original. Hawa praise team wa makanisa mbalimbali wakemewe ili waache kuimba tune zao za ajabuajabu zisizo na upako
AMEEEN MTU WA MUNGU🤝🔥🔥🔥Tufani inapovumaa sanaa Rohoni mwangu...
Nikiimba naona furaha ya ajabu ..
Bwana YESU atukuzwe
kuna wengine wameingiza amapiano katika kuimba tenzi. Tenzi zimekuwa zikiimbwa kwa mitindo ya ajabuajabuHakuna kitu kinanikera kama hiko, tune original zina upako sana, waliotunga walikuwa katika uwepo wa ROHO MTAKATIFU sasa wao wanakaa zao vijiweni wanajitungia tungia tu na vitune vyao vya ajabu ajabu kutafuta umaarufu tu, si watunge nyimbo zaoooo [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]