Tension!

Tension!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
TENSION>>Umechill gheto unapata majani, mara ghafla defender la polisi linaingia mtaani kwenu.

TENSION>>Una tumbo la kuhara, umeingia public toilet na kushusha mzigo, masikini kumbe maji yamekatika halafu binti mrembo anasubiri utoke aingie.

TENSION>>Uko underground mgodini, ume-set baruti ilipuke baada ya dakika 5 halafu crane ya kukutoa shimoni imepata kasoro.

TENSION>>Umempa mimba demu denti mtoto wa mjeshi, halafu ukimshauri kutoa mimba hataki na amesema lazhma atakutaja shuleni na kwa baba yake.

Situation ziko nyingi, nyingine ziko poa lakini nyingine mh! Hebu tupe situation uliyo nayo wewe.
 
TENSION>>Umechill gheto unapata majani,mara ghafla defender la polisi linaingia mtaani kwenu..

Maafande wengi wanatumia ile kitu, watakachokifanya ni kuku-join kupata stimu, nasingi else..!
 
TENSION...Unatoa public speech then unagundua hujafunga zipu ya suruali

Hahahahaa, hii nakumbuka ilishawahi kumtokea Ticha wetu wa Sande skuli halafu nilipoenda kumshtua akakurupuka kuifunga pale pale, nilijisikia aibu badala yake..!
 
TENSION>>Hujalipa bili ya ngeleja muda mrefu,siku tanesco wanakata umeme,mama mkwe anakuja kuwatembeleeni.
 
TENSION...Unatoa public speech then unagundua hujafunga zipu ya suruali

ingawa sio kwenye public speech ila kwa kazi nayofanya hii imenitokea mara nyingi hadi huwa sijali tena
 
Tension>>> Umemaliza kumpiga fiksi anayekudai kwenye simu kwamba haupo afu unamuona mbele yako
 
Umekutana na demu safarini ukamtongoza na kumdanganya haujaoa kumbe ni ndugu yake mkeo anakuja kuwatembelea TENSION
 
TENSION>>Umefumaniwa guest house na mke wa bosi wako,unamwomba msamaha bosi,hakujibu kitu,anakuangalia tu halafu anarudisha macho kwenye screen ya computer yake,anaendelea na kazi.
 
Nipale unapotangazia watu umeshinda bahati nasibu ya mamilioni, kumbe hukuskia vizuri kwenye tv, ubini ni mtu mwingine na namba moja ya cm haifanani.
 
Back
Top Bottom