Teni_ Uyo Meyo

Dim Ray

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
320
Reaction score
249
Habari zenu wana jamvi ,matumaini yangu muwazima wa afya .Kutokana na janga ya Corona lililopelekea kufungwa kwa shule kwa siku 30 , nimeingiwa na mawazo mengi sana na hatimaye nikaamua tu nipoteze mawazo nimeusikiliza wimbo wa Teni wa Uyo Meyo ,lakini katika hali isiyo ya kawaida machozi yananidondoka sijajua ni nini ,ila hali ya sasa ya corona imenigusa pabaya πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯😒😒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…