Kwa kweli kutengenza pesa online is very possible. Ila ki ukweli opportunity nyingi za kwenye mtandao ni upotezaji wa muda na utapeli.
Opportunity kama Google Adsense wanalipa ila visenti senti unless una pata traffic kubwa kwenye website yako.
Affiliate marketing zinazotolewa na kampuni kama Clickbank wanalipa vizuri ila unahitaji experience ya hali ya juu ya internet marketing.
Zipo opportunity nyengine kama Network Marketing na Online Market leadership ambazo unaweza kutengeneza pesa nzuri ila mwisho wa siku unatakiwa ku offer kitu kinachohitaji kwenye Marketplace ndio watu watakuwa tayari kutoa pesa zao na kukulipa.
Kujifunza zaidi kuhusu online market unaweza kusoma blog yangu "6 Ways To Make Money From Home."
Good luck.
Dr. Said Said
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Dr. Said is a medical doctor (MD), Entrepreneur and a home based business coach. He's the current CEO of Strategic Marketing & Design, a company which helps business owners increase their profits using strategic marketing.
He spends most of his FREE time blogging about business, entrepreneurship and marketing on his blog site SaidSaid.Net.
To learn more from him, make sure you subscribe to his FREE Strategic Marketing Course.