Msajili John Tendwa na waziri mkuu Mizengo Pinda kasomeni wasia wa mwalimu Nyerere kwa ccm alioutoa 16/08/1990 alisema 'Chama chetu si chombo cha uchaguzi kinachowashwa wakati wa uchaguzi na kuzimwa baada ya uchaguzi bali ni chama cha uongozi wa kila siku na wakati wote'
MY TAKE;
CHADEMA endeleeni na moyo uwo uwo wa kujali na kudhamini maisha ya watanzania kwa kuzungumza nao pale panapobidi.
Nawatakia afya njema viongozi wa chadema na kutowasikiliza Tendwa na Pinda kwani bado wapo gizani hawajui walisemalo.
Nawasilisha