Tendwa anamaanisha nini katika hili?

Tendwa anajiahibisha kweli,mie mwenyewe nakumbuka vizuri sana 99 ndio nipo 4m 5 na nilijua tu kuna kitu kafanyiwa kwasababu kwenye uzinduzi wa nyumba yake alikua mzima safi baada ya siku 2 ndio kaenda UK,nilistushwa na kichwa cha habari cha gazeti la The Expres liliandika "Nyerere illness still not Optimistic"
 
Tendwa hana tofauti na MKAPA,so msiumeze vichwa nimulemule wazee amnazo,ndio wanaelekea kua wachawi,kama ilivo kwasasa kijana yeyote anae ipenda ccm akizeeka lazima awe mchawi,na ccm kuna makundi mawili(1)wale wenye masilai na(2)wajinga,sasa kila mmoja ajiangalie yeye yupo kwenye kundi lipi.
 
Mkuu Chitambikwa!!
samahani kama nitaku-contradict,with all due respect, kutoka kwenye matakataka tunaweza kupata biogas na mbolea , unaweza kuniambia tunaweza kupata nini kutoka kwa Tendwa,i'm afraid nothing??? lol

Duh! sijui nimfananishe na nini sasa kama thamani yake inazidi hata waste products..
 
Hapo ndio upate picha ni kiasi viongozi wetu wazee waliopo madarakani wanavyowazarau vijana.
 
Wakati wa vita ya Uganda Tendwa alikuwa mdogo, hapaswi kuzungumzia Idd Amin!
 
John Bill Tendwa aseme Nyerere aliuawa au hakuuawa, kwamba aliyesema hivyo alikuwa kinda ama vipi huu ni ufikiriaji TENGE! JBT ni mbobeaji katika sheria, anajua LOJIKI, ASITURUSHIE HOJA huyu! Akipenda aweza kukaa kimya kuliko kuja na hoja ambazo hazina mashiko!

CHUWAALBERT hata huo UJIKO uliompatia JBT wa UBOBEAJI ktk SHERIA hanao, ni mchumia tumbo fulani. Kuna jamaa humu JF alisema kwamba "NJAA NA AKILI HAVIWEZI KUKAA PAMOJA" ni Sawa na Maji na mafuta. Njaa alizonazo Tendwa zimemfanya akili zake nazo kuhama, amebakiza masaburi.

Just imagine mtu mwenye CHEO CHA U-JUDGE anampatia "ushauri wa kisheria" Godbless Lema eti aende akawabembeleze watu waliotishia kumua wamusamehe wasimue. AU kama hawezi kufanya hivyo basi asikanyage kabisa Arumeru kwani kufanya hivyo atauwawa.

Huyu si JUDGE tu bali pia ni MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA. Leo kweli utasema amebobea kwenye sheria?! Kama ni hivyo basi njaa zake zimechukuwa utaalamu wake wote wa sheria alionao.
 
huwezi kuwa taifa lenye maendeleo kama una watumishi aina ya Tendwa. Mhh jamani hii nchi inahitaji mtu jasiri atuvushe hapa tulipo.
 
Back
Top Bottom