Yale ni majibu ya kidumu si ya wa ndoaHahaaaaa....huo ulikuwa ujumbe maalum kwa huyo mumewe.........
kama ni hivyo, utatongozwa mara ngapi kwa mwaka?Kumbe mke pia anatongozowa..Napata knowledge nyingi sana hapa kwaajili ya huyo my future unknown princecharming!!
Yale ni majibu ya kidumu si ya wa ndoa
hata kama ni mara 365 si mbaya!kama ni hivyo, utatongozwa mara ngapi kwa mwaka?
Nyumba ndogo ya mwanamke... Si unajuwa huwa mnabebaga ndoo ya maji kichwani na mikononi vidumuKidumu ndio nini..........
Angalau ungeziondoa siku 48 za nature kuchukuwa mkondo wakehata kama ni mara 365 si mbaya!
Lol unajuaje?Angalau ungeziondoa siku 48 za nature kuchukuwa mkondo wake