MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,291
- 2,368
Nape Moses Nnauye
Diego Armando Maradona.
Nape Moses Nnauye
Malast born tunaonewa..😂😂Hamna kitu mkizungusha kidogo mmechoka wavivu mno 😂😂😂
Umepita Tena mulemule ndo mlivyo kulilia remote mkipewa kubadili channel hamuwez😂😂Malast born tunaonewa..
Mie ni muwakilishi wa malast born.. Nipe mimi tuone nitazungusha kidogo na kuchoka au wewe ndio utabonyeza button ya pause ⏸
😂 😂
Wengine tulizaliwa hakuna rimoti nyumbani, usiku kama hakueleweki jikoni wanachemsha mawe mjue msosi unaiva muda si mrefu, mkisinzia mnalazwa kesho mkiamka mtakula kitakachokuwepo. 😂 😂Umepita Tena mulemule ndo mlivyo kulilia remote mkipewa kubadili channel hamuwez😂😂
Siwezi kukoment chochote mpaka mwanasheria wangu afike😂😂Hamna kitu mkizungusha kidogo mmechoka wavivu mno 😂😂😂
😂😂😂TunamsubiriSiwezi kukoment chochote mpaka mwanasheria wangu afike
Jumaa kareem😂😂😂Tunamsubiri
Mbombo jilipo
Hahaaaha umenichekesha sana....mle mle yanii😂 😂 😂
Sie tunaipiiga, tukichoka tunaiwekea mkono 😂🤣
We leta halafu uone jinsi tunahamisha toka itv kwenda tbcUmepita Tena mulemule ndo mlivyo kulilia remote mkipewa kubadili channel hamuwez😂😂
Vijana hawawezi elewa. 😂Hahaaaha umenichekesha sana....mle mle yanii
Daaah kabisa...😆😆😆😆Vijana hawawezi elewa. 😂
HahahaSisi tunangonoka, hatufanyi tendo la ndoa mkuu. Kuna wakati hata hisia tunazuacha home tunangonoka na strangers tu ili mradi hayo magoli yafungwe tupunguze uzito kidogo.