Tendo la ndoa lina mambo mawili ya muhimu

Llio 002

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,639
Reaction score
2,078
Tendo la ndoa lina mambo mawili ya muhimu
Burudani na kufika kileleni tu.

Burudani imebeba udambwidambwi ambao ndio hupelekea mtu kufika kileleni.

Tamati ya tendo la ndoa mtu amwage yale maji bila kumwaga hakuna ulichofanya cha maana.

Raha ya mechi iwe na vyega na kupigiana pasi za upendo, unapeleka mashambulizi na kurudi kukamba tena ila magoli ni muhimu sana kila mechi bora mtoke droo au mmoja ashinde kwa utofauti wa magoli sio kutuka suruhu (bila kufungana).

Mpira utembee, pira biriani bila nyamanyama ila liwe na magoli sasa sio pira butuabutua.

Au nakosea ndugu zangu[emoji1]

FB_IMG_1674759595370.jpg
 
View attachment 2496647

Ila asikufuru kwa Mungu wake
 
Back
Top Bottom