Imagine jamaa ametoka uvira kwenye battle frontline alafu unakuja unamnyima! Wale hawana huruma. Ila na mwanamke alikuwa sahihi, imagine jamaa anataka tendo la ndoa,kisha ampatie mwanamke ujauzito, mtoto azaliwe huko uvira kwenye mateso ya kila aina! Unazaaje sasa wakati,muda wowote mabomu yanasikika. Aloo