Tendo la ndoa: Kwanini hufanyika sirini

Imekuwa hivyo baada ya kugundua kuwa Ni dhambi Ila tuna force tu maana hakuna namna..rejea KITABU Cha mwanzo katika biblia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Jaribu Kufanya hadharani afu utaona nini kisichokuwa sirini tena yaani utaelewa tu
kajaribu leo afu utatupa mrejesho hapa
NAKAZIA:
Eneo alipo ajitahidi kufanyia kwenye uwanja mfano wa mpira, kama sie Mwanza tuna CCM Kirumba, halafu apitishe matangazo kuwa kutakuwa na huo "mchezo" atangaze na kiingilio kabisa cha watazamaji, atavuna hela sana.
 
Kama ambavyo hatuogi hadharadhi, hatuendi haja kubwa kubwa na ndogo hadharani... huo ndio U-bin-Adam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…