Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Tendo la ndoa (kujamiana) ni tendo Fulani ambalo pia wanawake wanalifurahia na kulienjoy sana lakini wanawake wa kibongo wanaona kana kwamba kutoa sex ni favour.
Kwa sasa wanawake wamefanye sex ni,
· Biashara
· Maigizo na uwongo
· Wamekuwa na Advance diploma ya Double dating
Embu wanawake badilikine, muwe na huruma. Pesa, pesa, pesa kitu gani?
Kwa sasa wanawake wamefanye sex ni,
· Biashara
· Maigizo na uwongo
· Wamekuwa na Advance diploma ya Double dating
Embu wanawake badilikine, muwe na huruma. Pesa, pesa, pesa kitu gani?