tendo la kujamiina

tendo la kujamiina

jerrto

Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
46
Reaction score
15
wadua mimi nina girlfriend wangu ambae hayupo kidogo kasafiri na huko aliko atakuwepo kwa probably muda mrefu tu lakini atarudi one day,na kipindi ambacho yupo huku ilikuwa mapenzi motomoto,kwa sababu alikuwa anantembelea hata mara tatu kwa wiki ghetto nilikuwa nnajamiiana nae mara zote,hiyo ni kwasababu girlfriend wangu mwenyewe alikuwa anaonesha ni big fun wa hilo tendo.Kiukweli ameumbika sana sasa akifika ghetto zile shughuli shughuli za kupika mara kunpigia deki,yaan kule kuinama inama na ni ana mvuto huwa inatokea nashindwa kujizuia tunafanya....sasa mwili wangu kama umeshazoea kujamiiana.

TATIZO NI:
Toka aondoke nimejawa na nyege za kutosha inafika kipindi hata nasimamisha nikiwa sifikirii chochote,yaan sometym inafika kipindi mpaka naona aibu kusimama nkikaa kwenye gari mashine hiyo imesimama,yaani najitahidi sana lakini yanakuwa mateso,huwa zinakuja IDEA za kipuuz sometyms niende hata ambiance au miasha club nichukue malaya nimalize ashki zangu lakini najizuia because ukweli ni kuwa she is very innocent and I do think kwamba she doesnt deserve that,but on other hand kama mi najisikia hivi na yeye si atakuwa anajisikia hivyo!!!?nae ataweza kujikaza kweli au najitahidi peke yangu???

na je ni kweli kwamba Condom zikitumiwa vizuri zinakinga maambukizi ya ukimwi,maana mademu wa mtaani walaini laini kila mtu anapiga huwa nataman na mm nipige lakini naanza kuwaza wakinipa ukimwi!!!?guys nko very serious naomba ushauri wenu najua nimeongea vitu vingi lakini unaweza nshauri popote pale unapoona unaweza na kama utaona this is stupid shread please just leave it

KEJELI SIO ISHU.

SORRY FOR LONGNESS OF THIS.
 
Jaribu kuwa mtu busy na shughuli zako za kila siku na pia ufanye mazoezi sana, mazoezi yanakufanya mwili unakuwa fit na mawazo ya kungonoka uyaache. Pia sio vema kumsaliti mwenzio, mwombe Mungu akuepushie zinaa, maana Mungu anasema ikimbie zinaaa na sio kuikemea. Ukiwa free basi soma vitabu ila sio vya kuhamasisha ngono, hapo utapona ndugu yangu. Ukianza kucheat utanogewa then itakuja kuharibu mahusiano yako na mpenzi wako.
 
wadua mimi nina girlfriend wangu ambae hayupo kidogo kasafiri na huko aliko atakuwepo kwa probably muda mrefu tu lakini atarudi one day,na kipindi ambacho yupo huku ilikuwa mapenzi motomoto,kwa sababu alikuwa anantembelea hata mara tatu kwa wiki ghetto nilikuwa nnajamiiana nae mara zote,hiyo ni kwasababu girlfriend wangu mwenyewe alikuwa anaonesha ni big fun wa hilo tendo.Kiukweli ameumbika sana sasa akifika ghetto zile shughuli shughuli za kupika mara kunpigia deki,yaan kule kuinama inama na ni ana mvuto huwa inatokea nashindwa kujizuia tunafanya....sasa mwili wangu kama umeshazoea kujamiiana.

TATIZO NI:
Toka aondoke nimejawa na nyege za kutosha inafika kipindi hata nasimamisha nikiwa sifikirii chochote,yaan sometym inafika kipindi mpaka naona aibu kusimama nkikaa kwenye gari mashine hiyo imesimama,yaani najitahidi sana lakini yanakuwa mateso,huwa zinakuja IDEA za kipuuz sometyms niende hata ambiance au miasha club nichukue malaya nimalize ashki zangu lakini najizuia because ukweli ni kuwa she is very innocent and I do think kwamba she doesnt deserve that,but on other hand kama mi najisikia hivi na yeye si atakuwa anajisikia hivyo!!!?nae ataweza kujikaza kweli au najitahidi peke yangu???

na je ni kweli kwamba Condom zikitumiwa vizuri zinakinga maambukizi ya ukimwi,maana mademu wa mtaani walaini laini kila mtu anapiga huwa nataman na mm nipige lakini naanza kuwaza wakinipa ukimwi!!!?guys nko very serious naomba ushauri wenu najua nimeongea vitu vingi lakini unaweza nshauri popote pale unapoona unaweza na kama utaona this is stupid shread please just leave it

KEJELI SIO ISHU.

SORRY FOR LONGNESS OF THIS.

Kidogo sijakuelewa anyway kwani demu wako siunamfaham tabia zake? wanawake wengi wanaweza vumilia muda mrefu kuliko wanaume.
 
tatizo ni kwamba ukianza kumcheat hutaacha na nyeto ni hatari zaidi kwahiyo basi sahau maswala ya faragha waza mengineyo
 
Kidogo sijakuelewa anyway kwani demu wako siunamfaham tabia zake? wanawake wengi wanaweza vumilia muda mrefu kuliko wanaume.
huwa nasikia hivyo,but wanawake wanaocheat wanaanzaje???
 
you can keep yourself busy kwa kufanya kaz sana.. usitumie muda wako mwing kukaa idle tu, coz by doin so utajiletea kila siku mawazo ya kishetan.
 
Umejiunga JF tarehe 25 Feb. 2014. Unaonesha mgeni sana kukurupukia JF na PEPO lako la NGONO....Nakushauri UOKOKE.
 
be a real man of your own actions,by the way uaminifu walipa
 
Kuna aliewahi kuishi bila kujamiiana akafa? kama hakuna basi kupanga nikuamua na kuamua ni kutenda....! Asanteni
 
Ukianza kununua ngono kuacha hiyo tabia utarudi hapa kuomba ushauri dont dare.

Hiyo ya mgegedo kusimama anytime t, hapo ni swala la kichwani zaidi. Fanya mambo mengine ukiwa free kama mazoezi au jipe hata kakozi ka lugha mpya uwe busy kimtindo.
 
Mkuu jaribu kuufanya mwili wako kuwa busy kama kwenda gym,kucheza mpira n.k.Acha kuangalia picha za ngono na muda mwingi usikae peke yako.

Ukizidiwa sana mfate mpenzi wako huko aliko ukamalize ugwadu wako.
 
Back
Top Bottom