Tender ya UPAMBAJI KATIKA UKUMBI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tender ya UPAMBAJI KATIKA UKUMBI

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ladyfurahia, Dec 3, 2012.

 1. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,519
  Likes Received: 1,040
  Trophy Points: 280
  HAY
  waugwana wa jf natafuta tenda za kupamba katika maharusi, misiba na sehemu mbalimbali za burudani,
  ninafanya decoration kwa rangi mbalimbali kwa mteja anayehitaji, vilevile ni mbunifu wa kutengeneza kadi
  mbalimbali za harusi, sendoff, kitchen party, kipaimara, n.k. na ninaprint Tshirt, Caps, jags, wheelcover n.k
  wasiliana nami hapa 0784 960517
   
 2. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,267
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  good idea,ingekuwa vyema zaidi kama ungeweza kudhihirishia wanaJF kwa kuweka picha za shughuli ulizowahi kupamba,ingependeza zaidi.
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,880
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu na nadhani angepata wateja kirahisi
   
 4. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,519
  Likes Received: 1,040
  Trophy Points: 280
  wakuu acha nitume sample za kazi zangu ni baadhi tu

  baloon decoration 1.jpg ni aina mojawapo ya upambaji kwa kutumia baloon


  zingine zinagoma kutokana na matatizo ya mtandao nitazituma
   

  Attached Files:

 5. m

  mama kokuu Senior Member

  #5
  Dec 3, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera unapamba vzr Mungu abariki kazi yako
   
 6. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,837
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  ungesema mapema kama 2 weeks ago,nilikuwa na shughuli ya rafiki yangu..na nilikuwa tafuta mtu wa namna hii.anyway siyo mbaya nitakutafuta nimechukua contact zako tayari.
   
Loading...