said rashid
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 203
- 113
Natafuta photocopy machine ambayo ni used, iliyo katika hali nzuri na bei nafuu kabisa. Kwa mwenye nayo au taarifa ya kuniwezesha kuipata tuwasiliane kupitia JF au +255 659 528 724. Natanguliza shukrani!