Watu kuna vitu vingi wa wanasiasa watu wadini huwa wanapotosha uenda kanisani wanasiasa na kutoa SADAKA kubwa na DHAKA kubwa MUNGU hayuko ivyo tenda wema nenda zako kama ufanyi haya hiyo ni kazi bure. MUNGU hakuna kitu unaweza kumpa kama kumuonga au Sadaka maana vyote vilivyomo ni mali yake.