Na bado
Bujibuji, iko siku mapigo yatadundia tumboni.:smile-big::smile-big::smile-big:
My wifey
mwaJ usiumize kichwa, huyu Bujibuji asikushughulishe hata kidogo, kama anataka msaada aseme tu tutamchangia aende india kutibiwa.
Utaishia kunawa tu hapa huli ng'ooo!!! Chezeiya traditionalist weye!!!??? mke wangu
mwaJautaendelea kumtolea udenda tu bila mafanikio.
Ahsante sana mpenzi kwa kumpa za uso huyu mrugaruga, asifikiri unang'ara kwa bahati mbaya, ninakutunza vizuri. Kama vipi atafute wake nae tuone kama atakuwa ananawiri kama wewe.
Hahahaha aisee unajua kujifariji sana. Ukipona utaacha kuvunja amri ya ngapi vile??? usimtamani mwanamke asiye mke wako...