WAPENDWA WATANZANIA WENZANGU,nilipoandika Kibarua, sikumaanisha kazi nzuri ki vile,ni kazi ya ulinzi yenye shifti za mchana na usiku,Sifa zinazotakiwa ni;
1.Elimu ya kidato cha nne
2.Urefu usiopungua ft5'7
3.Wadhamini wawili(kazi/assets siyo lazima ingawa inasaidia)
Naomba niweke wazi pia kuwa kama nilivyosema hiyo kampuni mie sina hisa nayo ila it once helped me wakati natafuta pa kukanyaga,so kama kweli unafikiri itakusaidia na una sifa,Nitafurahi kuwa of some help to a needy,Karibuni