Am teacher by proffessional but i can do part time as a teacher for pcm and biology pia niko poa
Hiyo combination ipo kweli hapa nchini??? tujuzane bhana maana mitaala ya bongo kigeu geu...!!!!inamaana ulisoma comb hii PCMB???? we mkali
Hapana nimesoma post ya mtu hapo juu anadai yeye yupo safi masomo ya physics,chem,maths na biology ndio nikauliza Alisoma comb gani yenye 4 subjectsHiyo combination ipo kweli hapa nchini??? tujuzane bhana maana mitaala ya bongo kigeu geu...!!!!
Habari za leo.
Natafuta mwalimu atakayeweza kufundisha masomo ya sayansi kwa kidato cha tatu na nne.
Kwa aliyetayari naomba anitumie PM.
Thanks!
Mwalimu anayetakiwa ni afundishe form two tena ni one week tution maths na physics wadau..