Temporary fta tv channels

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
979
Points
225

e2themiza

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
979 225
nackiaga 2 iyo steshen inaonyeshaga epl. Je iyo mech wali onyesha kwl? Kwa walio ona? Na ina onyesha mech zote za epl? Au once a week?
 

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
979
Points
225

e2themiza

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
979 225
duuh kwl? Ebana eeh hii dili sasa mie nainasa kwa dstv lakini kutumia reciever ya fta nliona önline kuwa inaonyesha lakn pia ni ya kulipia ata uku kwny iyo reciever nygn kuna alarma ya dollar bt inaonyesha. Lets hope itakaa na kuwa hvyo as long as it takes wknd ijao nitachk apo. Vp commentry ni englsh? Wana kamata moja kwa moja au wanaonyesha pitia chnl flan?
 

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
638
Points
195

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
638 195
duuh kwl? Ebana eeh hii dili sasa mie nainasa kwa dstv lakini kutumia reciever ya fta nliona önline kuwa inaonyesha lakn pia ni ya kulipia ata uku kwny iyo reciever nygn kuna alarma ya dollar bt inaonyesha. Lets hope itakaa na kuwa hvyo as long as it takes wknd ijao nitachk apo. Vp commentry ni englsh? Wana kamata moja kwa moja au wanaonyesha pitia chnl flan?
<br />
<br />
inaonyesha kupitia AD Sports in french commentary.nategemea wataonyesha carling cup j4/5,ntakuja na updates
 

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
638
Points
195

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
638 195
Leo Spurs vs Manu saa 9 alasiri kupitia irib tv3 inter vs sampdoria saa 11 jioni kupitia vazeshi.Chelsea vs Southampton saa 1jioni kupitia vazeshi, manc vs swansea saa 1jioni kupitia tv3. Liver vs Hull saa 11 jioni kupitia tv3. Unahitaji kuwa na ungo wa pf wa ft6 lnb ya cband iliyowekwa dielctric plate.ungo uelekee magharibi na uangalie karibuni juu kukaribia nyuzi 90. Unahitaji pia rcva ya dvb-s2 mpeg4.Tumia fr 4054 pol R sr 27500. Ukipata signo iblsaindscan kupata irib package kupitia Arabsat 5C @20 degree East
 

kateka

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2012
Messages
443
Points
250

kateka

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2012
443 250
Leo Spurs vs Manu saa 9
alasiri kupitia irib tv3 inter vs sampdoria saa 11 jioni kupitia
vazeshi.Chelsea vs Southampton saa 1jioni kupitia vazeshi, manc vs
swansea saa 1jioni kupitia tv3. Liver vs Hull saa 11 jioni kupitia
tv3. Unahitaji kuwa na ungo wa pf wa ft6 lnb ya cband iliyowekwa
dielctric plate.ungo uelekee magharibi na uangalie karibuni juu
kukaribia nyuzi 90. Unahitaji pia rcva ya dvb-s2 mpeg4.Tumia fr 4054 pol
R sr 27500. Ukipata signo iblsaindscan kupata irib package kupitia
Arabsat 5C @20 degree East
dielctric plate ndo ikoje hyo? hapo hamna biss key?
 

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
638
Points
195

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
638 195
Dielectric plate ni kile kisabuni kinachowekwa ndani ya lnb. Aidha unahitaji rcva inayoweza kuedit biss keys
kuna tv channel kwenye package ya dstv inayoitwa MADIBA ambayo inaonyesha profiles za mzee wa Africa Nelson M. Mandela. Iko fta just scan ur decoder
 

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
638
Points
195

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
638 195
kwa kweli irib (Islamic Republic of Iran Broadcasting) inanipa kitu roho inapenda. Nikiwa na dstv legal package yangu, srt4922+ A plus na irib kwa kutumia srt4922 ya pili sikosi live yoyote ya soka. Jana ilikuwa mechi za manu, manc. leo ya wababe wa EPL ARSENAL THE MIGHTY GUNNERS ndani ya irib. Ila tuseme ukweli hivi manu kweli imeshuka kiwango au ni sababu ya kumpoteza mchezaji wao mahiri wa 12( saf na upendeleo wa marefa).TEHE TEHE TEHE TEHE TEHE TEHE.
 

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
638
Points
195

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
638 195
tena kesho ndani ya irib varzesh arabsat 5 20deg east. mechi za manu, arsenal na manc vs lpool zitaonekana live kuanzia saa 9:45 alasili.
 
Last edited by a moderator:

Mgjd

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2012
Messages
452
Points
195

Mgjd

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2012
452 195
tena kesho ndani ya irib
varzesh arabsat 5 20deg east. mechi za manu,
arsenal na manc vs lpool zitaonekana live kuanzia saa 9:45
alasili.
Samahani mkuu,tafadhali nielekeze jinsi ya kuiendea hiyo Arabsat kutokea intelsat 906 kwa 6ft dish na single solution lnb. tafadhali
 
Last edited by a moderator:

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
638
Points
195

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
638 195
Samahani mkuu,tafadhali nielekeze jinsi ya kuiendea hiyo Arabsat kutokea intelsat 906 kwa 6ft dish na single solution lnb. tafadhali
kabla hujaiendea unahitaji kuwa na ungo wa ft6 pf, rcva yenye uwezo wa kuedit biss keys. utatakiwa kuelekeza dish lako magharibi( ingawa watu wengi hudhani kila sati ikiandikwa east basi ungo lazima uelekee east. si mars zote) Ni rahisi sana kuipata. kama ulishawahi kuweka amos5 yenyewe iko just juu yake.
 

Forum statistics

Threads 1,353,230
Members 518,297
Posts 33,075,371
Top