Nikushauri utafute sehemu ya ku-volunteer and not job. Utakapojitolea kufanya kazi bure hapo ufanisi wako unaweza kuonekana na hata wakafikiria kukuajiri, hasa ukizingatia kwa sasa huna ujuzi wowote.