Temperature Alert - Iphone 4 running iOS 7.0.4

Temperature Alert - Iphone 4 running iOS 7.0.4

mbweleko

Senior Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
158
Reaction score
30
Wakuu habari zenu...

Msaada tafadhari, nna iphone 4 ambayo ina-run iOS 7.0.4 inazingua sana, inaleta message: Temperature " iphone needs to cool down before you can use it. Nkii - restart inakua fresh for about 20Min then inaleta hiyo msg. Imeanza hii trend miezi 3 baada ya upgrade! Nme-close running tasks zote kwenye task manager na nme-disable background apps and all notifications but bado inaleta the same message.

Nikiizima kwa masaa mawili au matatu then nkaiwasha naikuta battery ina full charge na haisumbui tena hadi charge iishe na naitumia kwa cku nzima fresh kabisa. Sasa nashindwa kuelewa kama tatizo ni battery au ni software bug au kitu kingine... Please ufumbuzi jamani...
 
Back
Top Bottom