Wameona watu hawafanyi utalii wa ndani wakaona msitutanie kabisa tunawafata hukohuko mtushangae!.Wazungu wanatoka maili kibao tena kwa gharama kubwa nyie mnajidai wagumu na bumu mnalo!
Hata huko mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Mwanga, Kijiji cha Kwakoa wanasumbua sana wananchi. Jibu la serikali ni kwamba wananchi ndio wameingilia "anga" za tembo
Hata huko mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Mwanga, Kijiji cha Kwakoa wanasumbua sana wananchi. Jibu la serikali ni kwamba wananchi ndio wameingilia "anga" za tembo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.